Hans Tone Rocking Black Nail Polish
Dhana za kusema kupaka rangi katika kucha ni Uanamke zimepita sasa hivi wanaume nao wanapaka rangikucha zao, by the way kupaka rangi kucha kumeanza miaka mingi tangu enzi za ma’babu zetu kwaio sio kitu kigeni bali tu hapa katikati swala hili liliachwa kwakua iliaminika urembo…
Rangi Za Suit Unazoweza Kuvaa Mwanaume Ukiachana Na Nyeusi Na Navy Blue
Wanaume wengi hawapendi kuvaa mavazi yenye rangi rangi mara nyingi rangi zao wao ni zile zilizopoa hasa hazina kelele nyingi, Kwa upande wa vazi la suit wanaume hupendelea kuvaa rangi nyeusi, navy blue, khakhi au rangi nyingine zilizopoa lakini kumbe inawezekana wao kuvaa rangi za…
Diamond Platnumz Is Obsessed With His Metal Waist Belt
Sote huwa tunakile kitu ambacho tunakipenda sana kwenye mavazi haiwezekani ukapitisha week bila ya kukivaa, wengine huwa tunaitaga kauka nikuvae wengine huwa wanaviita vigaga. “Tuseme tu sio dhambi wala crime kuwa na kigaga chako” Kwa msanii maarufu Diamond Platnumz imeonekana kauka nikuvae yake ni hii…
Multicolor Suit Trend For Men
Kwasasa kinacho trend katika upande wa mavazi kwakina kaka ni suit zenye rangi zaidi ya moja, sio zile ambazo tumezoea kuona suit nyeusi, pink, blue etc. Hizi zinakuwa ombre, suit inakuwa na rangi zaidi ya moja. Tumeipenda hii trend hasa pale inapovaliwa proper na rangi…
2 Times Ebuka Wore Front Slit Trousers
Slayer mwanaume kutoka Nigeria Ebuka ameonekana ku-set new bars kwa wanaume kwa kuvaa hizi suruali zenye mpasuo mbele. Design hii ya suruali tumeziona sana kwa fashionista’s wengi wa kike lakini kwa mara ya kwanza tumeona kwake akiwa amevalia kama mwanaume. Mara ya kwanza alivalia na…
Burna Boy In Men Purse Trend
Mwanamuziki kutoka Nigeria Burna Boy ameonekana kuvutiwa na trend ya men purse, hii trend imeanza kuonekana mwishoni mwa mwaka jana. Ambapo tuliwaona wanamuziki na watu maarufu mbalimbali wa kiume wakiwa wamevutiwa na trend hii mmoja wapo akiwa Diamond Platnumz. Men Purse Trend By Diamond Platnumz…
Men Purse Trend By Diamond Platnumz & Stylist Noel Ndale
Zamani wanaume walikuwa wanabeba laptop bags na wallet tu, lakini sasa hivi tunaweza kuona wanaume wakiwa wamevalia fanny packs kiunoni, kubeba men handbags na sasa tunaona wana murse au men purse. Je Ni Sawa Mwanaume Kubeba Mkoba Tuna support men in wearing anything they’d like,…
Je Ni Sawa Kwa Mwanaume Kupaka Henna?
Tumezoea kuona wanawake tu wakiwa ndani ya michoro ya henna ambapo kwa wanaume huwa tunawaona wachache ambao hata hao wachache huwa wanapaka kwenye kucha na vidole vichache tu. Lakini imekuwa tofauti kidogo kwa Mwanamziki Mbosso kutoka Tanzania na Jidenna kutoka Nigeria ambao wao walienda extra…
Diamond Platnumz Rocking GUCCI Rhyton Sneaker Zenye Thamani Ya 2,064,800
Sote tunapenda mwanaume anaejipenda, mwanaume ambae ana gharamikia muonekeno wake. Wanaume wengi huwa wanakumbuka kuweka nywele zao sawa, mavazi sawa bling bling za hapa na pale lakini tatizo huwa linakuja kwenye viatu wanajisahau kabisa na kuvaa viatu ambavyo havieleweki. Japo hili swala limeonekana ni vice…
Our Two Cents On Rayvanny’s New Style “Mkupuo Style”
Waswahili husema “Miluzi Mingi Humpoteza Mbwa”, Tumekuwa tukiongelea mara kwa mara kuhusu styles za wasanii wetu. Kuna wale ambao wanafanya vizuri na styles zao na kuna wale ambao wao alimradi Dunia inazunguka basi maisha yanaendelea. Leo tunamuona msanii kutoka kundi la WCB aitwae Rayvanny, Ray…
HOT TOPICS
As long as hakuna Aya,Mstari Au Kifungu Kinachosema “Kuto Kuoga Ni Dhambi Au Kosa Kisheria” Then Perfume na Bodyspray Tu Zinatosha Msimu Huu
FollowDown To Very Little Details, Read More Here 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://t.co/IeYufSGMgy https://t.co/IeYufSGMgy
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…