Je Ni Sawa Kwa Mwanaume Kupaka Henna?
Tumezoea kuona wanawake tu wakiwa ndani ya michoro ya henna ambapo kwa wanaume huwa tunawaona wachache ambao hata hao wachache huwa wanapaka kwenye kucha na vidole vichache tu. Lakini imekuwa tofauti kidogo kwa Mwanamziki Mbosso kutoka Tanzania na Jidenna kutoka Nigeria ambao wao walienda extra…
Diamond Platnumz Rocking GUCCI Rhyton Sneaker Zenye Thamani Ya 2,064,800
Sote tunapenda mwanaume anaejipenda, mwanaume ambae ana gharamikia muonekeno wake. Wanaume wengi huwa wanakumbuka kuweka nywele zao sawa, mavazi sawa bling bling za hapa na pale lakini tatizo huwa linakuja kwenye viatu wanajisahau kabisa na kuvaa viatu ambavyo havieleweki. Japo hili swala limeonekana ni vice…
Our Two Cents On Rayvanny’s New Style “Mkupuo Style”
Waswahili husema “Miluzi Mingi Humpoteza Mbwa”, Tumekuwa tukiongelea mara kwa mara kuhusu styles za wasanii wetu. Kuna wale ambao wanafanya vizuri na styles zao na kuna wale ambao wao alimradi Dunia inazunguka basi maisha yanaendelea. Leo tunamuona msanii kutoka kundi la WCB aitwae Rayvanny, Ray…
Patoranking, Ebuka And Mbosso Serving In Monochrome Mint Looks
What can we say? African men are coming through hard linapokuja swala la fashion na week hii tumewaona watu maarufu kama Mbosso, Pantoranking na Ebuka wakiwa wamevalia full look za rangi ya mint na tumependa tunachokiona like okay brothers shine on us. Panto yeye alivaa…
Diamond Platnumz, Juma Jux And Harmonize In Durag Trend
Durag imeanza miaka mingi ambapo ilianza kutumika kama symbol ya black power movement kipindi cha Utumwa. Kwa sasa inatumika kuvaliwa kama urembo ambapo imeonekana kutumika na wasanii wengi maarufu wa Nje na Ndani ya Nchi. Kwa sasa inaonekana ku-trend Nchini kwetu ambapo baadhi ya wasanii…
Wasanii Wa Kiume Na Upofu Wao Katika Black Kwenye Nywele
Kama ambavyo wanawake wanapenda kujiremba siku hizi tunaona wanaume nao wanakuja kwa kasi katika kujiweka smart. Well tunaona kwao kwa sasa hii style ya kuweka black kwenye nywele ndio imeshika kasi, kila msanii wa kiume anaweka black kichwani, kitu ambacho sio dhambi lakini ugomvi wetu…
Socks And Sandals Trend For Men
Trend ambayo kwa miaka ya karibuni tumejionea kwa wakaka wengi ni pale wanapovaa socks na sandals ama slippers ambapo ina hisia tofauti toka kwa watu mbalimbali katika mitindo. Wanamuziki wengi tumejionea wakivalia hivi styling it with a comfy pair of sweta pants, track suits ama…
Men Palazzo Trend
Phew its about time kaka zetu wanapumua na skinny jeans ilikuwa too much kwa kweli, maana ilifika kipindi unakuta mwanaume kavaa skinny jeans mpaka unajiuliza je damu inatembea kweli mwili maana mishipa itakuwa imebanwa na nguo. Kwa sasa tumeona trend mpya ni palazzo, hizi ni…
Scarf It Up
Tumezoea kuona accessories zinazotrend kama viatu, mikufu, handbags, mikanda etc ni mara chache kukuta scarf ipo kwenye trend lakini kwa sasa scarf imechukua nafasi kubwa kwa pande zote mbili kwa wanawake na wanaume. Kwa upande wa wanaume tumewaona wakiitumia kufunga shingoni kama tai, watu maarufu…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…