Pixie Cut Hair Style Is Having A Moment
Pixie cut hair style ni moja ya style ya nywele ambayo ni timeless na ni rahisi kui-maintain, style hii ya nywele inaweza kuwekwa na mwenye umri yoyote na ni moja ya style ambayo inakufanya u-standout. Well kwasasa hapa Nchini kwetu tumeona inaanza kushika trend ambapo…
Miriam Odemba & Lilo Aderogba Wawatolea Uvivu Wanaovaa Vitu Fake
Tulishawahi kuongelea kuhusu watu maarufu kuvaa fake designers, na tulipata maoni yenye pande mbili kuna ambao walisema ni sawa na kuna ambao walisema si sawa. Well kuvaa fake designers kunaweza kumshushia msanii kwa kiasi kikubwa pale tu umma utakapo notice na kumuweka hadharani kwamba alichovaa…
2021 Slayage Edition
Ni Siku Nne tu toka tuanze mwaka mpya, na tunaweza kusema mwaka tayari unaonekana kuanza vyema kabisa as watu maarufu mbalimbali wameonekana ku-slay na outfit zao. Tunaanza na mwanamitindo Happiness Magese ambae alisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa amevalia tulle dress ya pink akiwa amemalizia…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…