3 Times Shuu & Darleen Served Some BFF’s Wedding Guest Looks
Kuna ule urafiki unafikia mpaka mnajiona mapacha, mnavaa sare hasa kwenye baadhi ya sherehe ambazo mnaalikwa pamoja, hii imeonekana kwa mwanamuziki Queen Darleen na rafiki yake Designed by Shuu ambao wao wanajiita Zena na Betina. Well Shuu na Darleen huwa wanavaa sare na wakati mwingine…
Mishono Kutoka Katika Harusi Ya Rita Dominic
Muigizaji kutoka Nigeria, Rita Dominic amefanya traditional wedding yake jana ambapo watu maarufu mbalimbali kutoka Nigeria walihudhuria katika sherehe hio, as usual Nigerians don’t disappoint. Kama una harusi, kitchen party etc na ungependa kupata mshono wa tofauti basi unaweza kuiga hii kutoka kwao. Matumaini yetu…
Hamisa Mobetto, Elizabeth Michael & Jihan Dimack Serving Looks
Imekuwa muda toka tupate kuona watu maarufu wakitoka kwenda kwenye event usiku, seems like this week event zilikuwa nyinginyingi na wengi wali-attend, well we have 3 looks ambazo zimeonekana kupendwa na ku-trend sana katika mitandao ya kijamii. Tunae Elizabeth Michael ambae alivaa purple & gold…
Iga Mishono Kutoka Katika Harusi Ya Tiannah Empire
Juzi Nigeria ilichafukwa ambapo mbunifu na stylist Tiannah Empire alifunga ndoa, well kama kawaida Nigerian’s don’t play kama unawaalika ujiandae haswaaa… Wahudhuriaji wali-show up na ku-show out. Incase una shughuli yako iwe umealikwa au binafsi na huna mshono let these wedding guest’s inspire you. Ebube…
Corset Dress Mshono Unao-Trend Kwa Sasa
Kama unahudhuria harusi, una wedding reception, kitchen party au hata birthday party huu ndio mshono ambao unaonekana ku-trend kwa sasa Nchini kwetu na hata nje ya Nchi. Unaitwa Corset Dress, kama unajua ile mikanda huwa tunavaa kubana tumbo basi huu mshono upo inspired na ile…
HOT TOPICS
May Be “May Be” They Will Listen To Flavy 😂, Some Of Them Have Full Makeup On Wanatangaza Product Ya Uso 🤔 https://t.co/1OysMjaJd8
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…