Mishono Ya Vitenge Kutoka Kwa Fashionista Mbalimbali
Inawezekana una kitenge chako hujui ushone nini au una event inakuja na sare ni kitenge na bado hujajua mshono gani ushone, leo tunakuletea mishono mitatu mikali kutoka kwa Jojo Gray, Elizabeth Michael na Muna Love Muna aliserve akiwa amevalia hii mermaid dress kutoka kwa Allie…
Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Hamisa Mobetto
Hamisa Mobetto amekuwa aki-slay left and right, inaonekana ametuandalia vingi mwaka huu wa 2021, kama una kitenge chako na unataka kukishona kwa ajili ya sherehe basi kuna hii mishono miwili kutoka kwa Hamisa ambayo tumeiona na wewe unaweza kuiga kushona kama utavutiwa nayo. Ni mishono…
Viola Davis Amevaa Vazi Hili La Kitenge Katika Golden Globes Awards
Ikiwa usiku wa kuamkia leo kulikuwa na Tamasha kubwa lijulikanalo kama “Golden Globes” tamasha hili huwa linahusisha kiwanda cha movie, watu mbalimbali walionekana kuhudhuria ikiwa wengine waliamua ku-attend huku wengine waliamua kuvaa tu mavazi na kutulia nyumbani kutoka na janga la corona. Muigizaji Viola Davis…
Mshono Wa Kitenge Unao-trend
Kitu kimoja kuhusu kitenge ni huwa hakipitwi na wakati kama ambavyo zilivyo fabric nyingine kama polka dot, stripes kitenge kipo toka enzi na enzi na kinashonwa kutokana na era iliyopo. Leo tunawaangalia watu maarufu mbalimbali ambao wao wametuonyesha namna ya kuvaa kitenge kwa mshono huu…
Kamshono Kutoka Kwa Spice Diana
Wanasema kizuri kula na nduguyo na sisi tukaona ndugu zetu msipitwe na vizuri, katika pitapita zetu tukakutana na mwanamuiziki kutoka Uganda Spice Diana akiwa amevalia hii statement puff sleeve kitenge dress. Ambayo tumeona inaweza kuwafaa na wengine ambao wanapenda nguo za kushona. Ambapo alimalizia look…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…