SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Mshono Wa Kitenge Unao-trend 

Kitu kimoja kuhusu kitenge ni huwa hakipitwi na wakati kama ambavyo zilivyo fabric nyingine kama polka dot, stripes kitenge kipo toka enzi na enzi na kinashonwa kutokana na era iliyopo. Leo tunawaangalia watu maarufu mbalimbali ambao wao wametuonyesha namna ya kuvaa kitenge kwa mshono huu…

Mitindo

Kamshono Kutoka Kwa Spice Diana 

Wanasema kizuri kula na nduguyo na sisi tukaona ndugu zetu msipitwe na vizuri, katika pitapita zetu tukakutana na mwanamuiziki kutoka Uganda Spice Diana akiwa amevalia hii statement puff sleeve kitenge dress. Ambayo tumeona inaweza kuwafaa na wengine ambao wanapenda nguo za kushona. Ambapo alimalizia look…

Mitindo

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Fashionista Mbalimbali 

Kiukweli sisi tunapenda tunapoona Fashionista wakitumia vitenge katika mavazi yao, Yes si kwamba tu wanatupa mishono bali pia wanatangaza vya kwetu. Tumewaona fashionista hawa watatu kutoka Tanzania, South Africa na Nigeria wakiwa wamevalia mavazi ya kitenge na tukaona tukuletee hapa labda unaweza kuona mshono utakaoupenda…

Mitindo

Namna Ambavyo Fashionista Wanaslay Mishono Ya Kitenge 

Gucci, Channel, Fendi for what? Move over sababu kitenge kimeanza kuchukua nafasi once again,na fashionista’s kutoka sehemu mbalimbali wanatuonyesha umahiri wao wa ku-slay mishono hii ya kitenge Muigizaji na fashionista kutoka Ghana,ย Nana Akua Addo tulim-spot akiwa katika hii kitenge jumpsuit ambayo tumependa jinsi ilivyo kuwa…

Mitindo

Iga Mshono Kutoka Kwa Hamisa Mobetto 

Well spirit ya ku-slay kwenye harusi za watu haija ishia 2018, we are carrying that same energy to 2019 pia. leo tumemuona muigizaji, mwanamitindo na kwa sasa ni mwanamuziki Hamisa Mobetto akiwa amevali hili gauni ambalo tumeona linaweza kukufaa katika sherehe yako ijayo uwe mgeni…