SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Our Two Cents To Miss Tanzania Committee 

Miss Tanzania imefanyika Ijumaa ambapo warembo 20 walichuana vikali na hatimaye tukampata mmoja ambae ataenda kutuwakilisha Miss World itakayo fanyika Tarehe 14 December  2019 Jijini London, Uingereza. Miss Tanzania 2019 Ni Sylvia Sebastian Bebwa ambae anatoka mkoani Mwanza, ana umri wa miaka 19 na ni…

Mitindo

Rai Yetu Kwa Miss Tanzania 2019 

Ikiwa tunaelekea Miss Tanzania 2019, ambayo itafanyika tarehe 23/8/2019 tumeona tutoerai kwa miss Tanzania ya nini cha kujifunza kutoka kwa Amber Lulu Na Zari The Bosslady. Julai 14 kulikuwa na mashindano ya Miss Kinondoni 2019, ambapo mtumbuizaji alikuwa mwanamuziki Amber Lulu huku Hamisa Mobetto akiwa…