Je Hili Ni Jibu La Zuchu Kwa Miss Tanzania Organization?
Week chache zilizopita mwanamuziki Zuchu alipewa onyo na kampuni ya The Look ambayo inasimamia mashindano ya Miss Tanzania, Onyo hili lilitokana na mwanamuziki huyu kutumia Sash yenye maandishi ya Miss Tanzania, ambapo kampuni hio ilisema kuvaa Sash yenye maandishi hayo ni “kuiba na kupotosha utambulisho…
Zuchu Apewa Onyo Kwa Kutumia Sash Ya Miss Tanzania
Kampuni iliyopewa kibali cha kusimamia mashindano ya Miss Tanzania “The Look” imetoa onyo kutumia “Sash” yenye jina / maandishi ya “Miss Tanzania”, Kampuni hii ilitumia Official Page yao ya instagram kutoa onyo hilo, Onyo hili limekuja baada ya mwanamuziki Zuchu kutoa wimbo wake mpya unaitwa…
Kongole Zetu Kwa Top 3 Ya Miss Tanzania 2022
Kama ambavyo wakiharibu tunasema basi pale wanapo fanya vyema wasifiwe pia, Top 3 ya Miss Tanzania 2022 inastahiki pongezi, toka wapokee taji hili wamekuwa wakijitahidi sana kuonekana vyema na kwamba wanastahiki taji hili. Tunapenda namna wanavyo jibeba (carry) kuanzia mionekano yao, mavazi, viatu, makeup namna…
Halima Kopwe Aibuka Kidedea Miss Tanzania 2022
Mei 20, 2022 Tanzania imepata mrembo wa Taifa ambae atakwenda kutuwakilisha katika kilele cha kumtafuta Miss Words. Halima Kopwe toka Mtwara ametwaa taji hilo la Miss Tanzania. Halima ambae anamiaka 23, amejishindia gari dogo aina ya Benzi lenye thamani ya shilingi milioni 30 na fedha…
Hatimae Juliana Rugumisa Kushiriki Miss World
Utata wa nani ataliwakilisisha Taifa katika Miss World umeisha na mshiriki alieshinda nafasi ya pili Juliana Rugumisa amesafiri kwenda kushiriki katika Mashindano ya Dunia. Kulikuwa na utata kutokana na Baraza la Sanaa Tanzania kutokumtambua Juliana na badala yake walitaka Miss Tanzania Rosey Manfere kushiriki katika…
Vuta Ni Kuvute Ya Uwakilishi Miss World 2021
Bado vuguvugu la nani ataenda kuiwakilisha Nchi katika mashindano ya Miss World 2021 linaendelea, Ikumbukwe week iliyopita Miss Tanzania Organization walitoa Tamko la kumuengua Rosey Manfere kuwakilisha Nchi katika Miss World badala yake aende Miss number 2 Juliana Rugumisa. Basata iliwaita pande zote mbili na…
Basata Vs Miss Tanzania Organization
Vuta nikuvute ya nani atakaeenda kuwakilisha Nchi katika mashindano ya urembo Duniani inaendelea kuwa kubwa. Juzi Miss Tanzania Organization ilitoa taarifa kwamba Miss Tanzania Rose Manfere hatoweza kwenda kuiwakilisha Nchi katika mashindano hayo kutokana na utovu wa nidhamu, Rose alijibu kwa kusema hana hio taarifa…
Kizungumkuti Kuhusu Miss Tanzania
Jana taarifa ilitoka kutoka kwa Miss Tanzania Organization kwamba aliyekuwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere hatoweza kwenda kushiriki mashindano ya dunia ya urembo kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa hii ilishtua wengi na wengine kuhoji Utovu huu wa nidhamu ni upi? Utovu Wa Nidhamu Wamponza…
Rosey Manfere Serving Beauty
Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere amepost picha zake mpya katika ukurasa wake wa Instagram, katika hizi picha Rosey ametuonyesha uwezo wake wa ku-serve nothing but face & beauty. Rosey amevalia accessories kutoka kwa @gcina_culture_designer MUA @perfectglow_tzPhoto credits @pafectstudio Hair @mamaafrica_mua, we have to say, japo team yake wamejitahidi…
Mambo 3 Yaliyotuvutia Kutoka Katika Event Ya Miss Tanzania 2020
Hatuwezi kuacha kusifia pale sifa zinapo stahiki na kukosoa pale ambapo tunaona pamekosewa hili kujenga Miss Tanzania bora kwa miaka ijayo, tuanze kwa kusema tumefuraishwa na event ya Miss Tanzania mwaka huu. Imeonekana kwamba waandaaji wameanza kusikiliza maoni ya wengine pia. Leo tunaleta mambo matano…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…