Vazi La Yammi Tz Lafananishwa Na Zulia Ya Manyoya
Mwanamuziki kutoka katika label ya the African princess, Yammi ame trend katika mitandao ya kijamii kutokana na vazi lake alilolivaa jukwaani wakati anatumbuiza. Yammi alivaa pink fur outfit ambayo ilikuwa ni crop top, mini skirt na knee length fur socks zikiwa za manyoya ya pink,…
Bongo Movie Na Fashion
Huwa tunachukua muda kukosoa tunapoona makosa lakini pia huwa hatuachi kusifia pale panapo stahiki sifa, Miaka michache nyuma tulishawahi kukosoa bongo movies kutokana na makosa mbalimbali ya fashion leo tupo hapa kutoa pongezi kwao. Hatujui kama walisoma au ni kwenda na wakati kwasasa bongo movies…
Flaviana Matata Afunguka Kuhusu Kuvunjika Kwa Ndoa Yake, Jackie Cliff Arudi Uraiani, Budget Ya Harusi Ya Aristoste + More
Week nyingine imeisha na huwatunajua ni lazima kuwe na jambo la kuongelea, well week hii zilizoonekana kushika masikio ya watu kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na mwanamitindo Flaviana Matata kufunguka kuvunjika kwa ndoa yake. Flaviana Matata alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu…
Zuchu Committed A Fitting & Wrong Accessory Crime
Zuchu anaonekana kuwa mpenzi wa fashion na tunavyo muona ni kwamba anajaribu ku-stand out kuwa tofauti na wengine, ukiangalia mavazi yake utajua kuna mtu ana mu-inspire na angependa kuwa kama yeye lakini kuna vitu anakosea. Week hii tumeona akijaribu kuvaa oversized suit, kama mnakumbukumbu na…
Anjella Anahitaji Stylist ASAP
Lebo za muziki Nchini zimekuwa zikisaini wanamuziki na kuwapa umaarufu,mikufu na magari lakini wanasahau kuhusu mionekano, Anjella ni moja kati ya wasanii waliopo chini ya label kubwa ya muziki Nchini Konde Gang lakini muonekano wake unaongea tofauti kabisa. Anjella anahitaji a whole wardrobe detoxing her…
Barua Ya Kufunga Na Kufungua Mwaka Kwa Wapenzi Wa Afroswagga
2019 tumeshuhudia ukuaji katika tasnia ya urembo, mitindo na ubunifu, muziki yaani sanaa kiujumla. Ubunifu katika kazi za wasanii wengi, uwepo wa talents toka kwa vijana wanaochipukia katika sekta mbalimbali iwe styling, photography, make up artistry, modelling pia fashion designing. Lengo kuu la Afroswagga sio…
Tanzanian Celebrities Who Improved Their Style In 2019
2019 Imebakisha siku kumi na moja uishe kama ambavyo ilivyoada huwa tunakuletea report ya mwaka mzima, na mwaka huu tunaanza na watu maarufu ambao wamejiongeza mwaka huu na wakuwa watched mwakani. Gigy Money Gigy amekuwa katika list yetu ya wasanii wasiojiweza katika mavazi kwa muda…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…