Wedding Reception Dresses Ideas Kutoka Kwa Pearl Thusi
Pearl Thusi ni Muigizaji, Mwanamitindo na Mtangazaji kutoka South Africa, ni moja kati ya fashionista’s anaefuatiliwa zaidi Nchini humo na Nje ya Nchi. Kutokana na kazi zake Pearl Thusi amekuwa akipewa deals mbalimbali za kutangaza katika event kubwa mbalimbali na hapa sisi ndipo huwa haletagi…
Iga Mishono Kutoka Katika Harusi Ya Tiannah Empire
Juzi Nigeria ilichafukwa ambapo mbunifu na stylist Tiannah Empire alifunga ndoa, well kama kawaida Nigerian’s don’t play kama unawaalika ujiandae haswaaa… Wahudhuriaji wali-show up na ku-show out. Incase una shughuli yako iwe umealikwa au binafsi na huna mshono let these wedding guest’s inspire you. Ebube…
Stylist Swalha Msabaha Said I Do In Her Own Design
Swalha Msabaha ni mmoja kati ya stylist wanaojulikana zaidi Tanzania, Swalha katika kazi yake ya u-stylist alikuwa akiandaa matamasha kuhusu Beauty And Style, lakini pia Sip & Shop With Swalha Msabaha ambayo yote yalikuwa yanahusiana na mitindo na urembo. Swalha amefunga ndoa weekend hii na…
Forget About Wedding Bouquet Flowers These Are Other Ways To Use Flowers On Your Wedding
Hello Afromates, ni jumatano nyingine tena ambayo tunajua kunakuwaga na #WeddsWednesday hapa tunakuwa tunaongelea mitindo mbalimbali ya harusi, leo tunaongelea kuhusu namna nyingine ya kutumia maua katika harusi yako. Tumezoea kutumia maua kwenye decorations katika harusi au wedding bouquet flowers ambazo hubeba bibi harusi na wengine…
Wema Sepetu Giving Us Low Cut Hair Style Bride Inspiration In Chapa 1 Collection Wedding Dress
Msanii Wema Sepetu alituambia tumzoee na her new look, maana mwaka huu nywele kazitupilia mbali, with her new body anasema nywele hazimpendezi, what can we say do you mamy. Leo tumeona ameachia picha mpya akiwa amevaa mermaid wedding dress with detachable skirt kutoka kwa mbunifu…
Mbunifu Fifi Sugar Designs Afuata Nyayo Za Kate Middleton Kwa Bride Maids Kuvaa Rangi Nyeupe
Wanasema rules are meant to be broken, kuna rules mbalimbali za nini unapaswa kuvaa na nini upaswi kuvaa katika harusi kama wewe ni mgeni mualikwa au msimamizi moja wapo ni kutokuvaa rangi nyeupe as inasemekana utamu-outshine bibi harusi. Zarina Hassan, Jide Jaydee Na Abby Wakiwa…
Let The Bride Wear The Pants
Zile siku za kwenda kununua mavazi ya harusi na ni lazima linunuliwe gauni zimekwisha, kwa sasa maharusi wengi wanavunja mipaka na kuamua kuvaa jumpsuit au pant suit katika harusi zao, well ni rahisi kwa ma-bibi harusi ku-switch codes kuliko kwa upande wa kiume kuvaa matching…
Alichovaa Elizebeth Michael Lulu Katika Siku Yake Ya Mahari
#roadtoFrancilizy ndio kama imeanza taratibu ni mambo ya kutu surprise tu, walitu-surprise na engagement na leo tumepewa surprise ya mahari day, usiku wa kuamkia jana muigizaji Elizabeth Michael ametolewa mahari na mchumba wake Francis a.k.a Majizzo, huwa tunapenda mavazi ya Elizabeth akiwa ana attend events au…
Every One Is Getting Engaged In Yellow, From Priyanka Chopra, Elizabeth Michael And Fifi Sugar Design
Rangi ya njano ni rangi ambayo imekuwa ikitrend sana kwa sasa, iwe neon au njano ya kawaida, tumeona watu wengi maarufu wakiwa wamevalia rangi hii wakiwa in street style, red carpet na hata katika wedding guest. Hii rangi imekuwa kama rangi ya bahati hivi maana…
Add A Little Dramatic Puff Detail On Your Strapless Wedding Guest Dress To Stand Out
Wanasema kwenye harusi hutakiwi kuonyesha too much cleavage as uta ondoa attention kwa bi harusi na watu kuwa wanakushangaa wewe na kifua chako, lakini hio haimaanishi usivae off shoulder au strapless dresses but mishono hii sasa ishakuwa common kama ukitaka kuonyesha a little skin basi…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…