SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Ginger Orange Curly Hairstyle Inavyo Trend Kwasasa 

Kuna mitindo mbalimbali ya nywele ina trend kwasasa, lakini ambao tumeuona unashika kasi ni hii wig ya rangi ya ginger orange. Tumewashuhudia watu maarufu mbalimbali wakiwekwa style hii hatujajua imetokea bahati mbaya, wanaigiana au kuna brand inatoa nywele hizi kwaajili ya kutangaziwa. Anyways tumewaona watu…

Urembo

Pixie Cut Hair Style Is Having A Moment 

Pixie cut hair style ni moja ya style ya nywele ambayo ni timeless na ni rahisi kui-maintain, style hii ya nywele inaweza kuwekwa na mwenye umri yoyote na ni moja ya style ambayo inakufanya u-standout. Well kwasasa hapa Nchini kwetu tumeona inaanza kushika trend ambapo…

Urembo

Celebrities Hair Cut Inspiration 

Katika kitu ambacho huwa kina-stress ni nywele, wakati mwingine unataka tu uwe na simple hair style ambayo haitokufanya uwe unahangaika nazo mara kwa mara. Na ndio maana kuna wakati unakuta baadhi ya watu maarufu mbalimbali wanaamua kukata nywele zao. Well leo tuna watu maarufu wanne…

Urembo

Himba Tribe Hair Style Trend 

Inavyoonekana kwa sasa trend ambayo inatamba ni kusukia Himba tribe hair styles na hapa hatuongelei kuhusu nywele za mbenjuo, rasta bali ni hii hair style kutoka katika kabila la Himba, Nchini Namibia. Style hii ipo ipo muda mrefu na mabibi zetu walikuwa wakiitumia, ilipotea kutokana…

Urembo

Pearl Hair Accessory Trend 

Pearl kwa kiswahili huitwa Lulu, hizi hutumika kwenye accessory kama hereni, mikufu, bangili, vibanio vya nywele n.k. Lakini miaka michache iliyopita tumekuwa tukiona vito hivi vikiwekwa kwenye mavazi mfano suruali, magauni, blouse n.k. Lakini maka hii ya karibuni zimeonekana kutumika kama urembo katika nywele, watu…