SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Judge Afro

Anjella Anahitaji Stylist ASAP 

Lebo za muziki Nchini zimekuwa zikisaini wanamuziki na kuwapa umaarufu,mikufu na magari lakini wanasahau kuhusu mionekano, Anjella ni moja kati ya wasanii waliopo chini ya label kubwa ya muziki Nchini Konde Gang lakini muonekano wake unaongea tofauti kabisa. Anjella anahitaji a whole wardrobe detoxing her…

Mitindo

Kamshono Kutoka Kwa Spice Diana 

Wanasema kizuri kula na nduguyo na sisi tukaona ndugu zetu msipitwe na vizuri, katika pitapita zetu tukakutana na mwanamuiziki kutoka Uganda Spice Diana akiwa amevalia hii statement puff sleeve kitenge dress. Ambayo tumeona inaweza kuwafaa na wengine ambao wanapenda nguo za kushona. Ambapo alimalizia look…

Mitindo

Kwanini Ni Muhimu Kuwa Na Style Yako 

Kama kuna kitu ambacho tume-notice ni kuwa wengi wetu kwa sasa hivi tunamionekano sawa, wengi kila mmoja anaonekana sawa na mwingine na hii inatokana na wengi wetu kutokujua kuhusu style zetu au ku-copy style za wengine mpaka tunasahau ni nini sisi na mioyo yetu tunataka….

Mitindo

Makosa Ya Style Yanayo Fanya Uonekane Cheap 

Ninapenda hizi nyakati tunazoishi, I really do. You can be anything…anything you chose to be. Isn’t it just lovely. Unaweza kuwa a strong independent woman, a funky chic, boho with a touch of sexy, unaweza kuwa chochote ikiwemo kuwa cheap, miserable, low value, careless n,k….

Fashion Cop

Zuchu Anahitaji Stylist ASAP 

Kwa sasa mwanadada aneongelewa zaidi katika anga ya muziki ni Zuchu, amesainiwa hivi karibuni na WCB ikiwa chini ya mwanamuziki Diamond Platnumz. Zuchu anafanya vizuri na nyimbo zake lakini sehemu ambayo tunaona iko wrong ni upande wa fashion. Anaonekana anapenda fashion na anapenda kujaribu lakini…