Let Lavie Makeup Inspire You On Start Where You Are And Use What You Have
Kama wewe ni mpenzi wa fashion & beauty lazima utakuwa umemsikia mwanadada Upendo Shuma a.k.a Lavie Makeup, Ni moja kati ya makeup artist wakubwa Tanzania, amesha fanya kazi na watu maarufu mbalimbali kama Wema Sepetu, Elizabeth Michael na wengine wengi. Lavie ni inspiration kwa wengi,…
Flaviana Matata Is A True Definition Of Passion Is The Difference Between Having A job And Building A Career
Wengi tunamjua International Model, Flaviana Matata ni moja kati ya wanamitindo ambao wanafanya vizuri kutoka Tanzania. Flaviana amezaliwa na kukulia mkoani Shinyanga, lakini si Msukuma, Baba wa Flaviana ni myambo kutoka Karagwe that makes Flaviana myambo pia. Amesoma Shinyanga Primary School, secondary amesomea Girls Mission…
Mustafa Hassanali Kutoka Kuwa Daktari Mpaka Ubunifu
Umeshawahi kusikia au kuambiwa kwamba “sometimes you got to follow your dreams” yes ni kweli wakati mwingine unacho hitaji kufanya ni kufuata ndoto zako, Mustafa Hassanali si jina geni kwa wengi wetu, kama wewe ni mpenzi wa mitindo basi hili jina utakuwa umelisikia sana Mustafa yupo…
Claude Lavie Kameni Kutoka Cameroon Alivyoweza Kumvalisha Janet Jackson Na Tracee Ellis Ross
Imekuwa muda sasa tunasema fashion za Africa zinafika Duniani, tumeona wabunifu wakubwa wakitumia batiki, vitenge, shanga n.k katika collection zao, lakini pia tunaona vile watu maarufu kutoka Africa wanavyopewa collaboration na makampuni mbalimbali makubwa katika kazi zao, its our time to shine. Ukiachana na wao…
How Did Kylie Jenner Turn Lemon To Lemonade (Boss Moves)
Kama humjui Kylie Jenner basi utajua brand yake ya vipodozi iitwayo Kylie Cosmetics, well leo tunamuongelea namna ambavyo ameweza kugeuza Lemon kuwa Lemonade na kuifanya kwama biashara na kwasasa anatabiriwa kuwa billionaire katika umri wa miaka 21, Yeah yeah yeah tunajua wote mtasema lakini she…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…