SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

6 Makeup Looks From Last Week 

Juma lililopita lilikuwa na mengi, sherehe, photoshoots, engagement etc. Na kama ilivokuwa kawaida kukiwa na matukio basi sisi huwa tunaangalia namna ambavyo watu maarufu wamehudhuria je mavazi yao yalikuwa on point? Je makeup na nywele zilitulia? Na tuna wrap up na kuwaletea hapa maoni yetu….

Urembo

Pixie Cut Hair Style Is Having A Moment 

Pixie cut hair style ni moja ya style ya nywele ambayo ni timeless na ni rahisi kui-maintain, style hii ya nywele inaweza kuwekwa na mwenye umri yoyote na ni moja ya style ambayo inakufanya u-standout. Well kwasasa hapa Nchini kwetu tumeona inaanza kushika trend ambapo…

Mitindo

Surgery Aliyofanya Muna Love 

Mwaka jana Rose Alphonce au Muna Love alitangaza kufanya surgery 11, na mwaka huu alirudi aki-serve bowd kwenye mitandao ya kijamii. Kwa bahati mbaya kwenye surgery yake ilianza kumletea matatizo ambapo ilibidi arudi hospital kuangaliwa zaidi. Muna alitangaza kufanya surgery 11 ambapo ambazo alizisema na…