Cute Valentine Day Nail Art Ideas
Kuwa na mpenzi, mume au kutokuwa nae haikuzuii kujipendezesha siku ya valentines, kama wewe ni mmoja kati ya watu wanaosheherekea siku hii. Wengi huwa wanaseherekea siku hii kwa kutoka na wawapendao, familia, wapenzi au kutoka wenyewe, kupeana zawadi na kuvaa mavazi mekundu kama ishara ya…
Namna Ya Kupendezesha Vidole Vyako Vya Miguu
Kuna vitu ambavyo kila mmoja wetu ana insecurity navyo katika miili yetu, wengine inaweza kuwa mikono, tumbo, shingo, macho nk ili mradi tu kuna kitu ambacho una notice hakipo sawa. Wachache wanachukua muda wao kutafuta namna ya kutafuta solution ya majibu haya wakati wengine tunaamua…
Dondoo 3 Za Rangi Ya Kucha Kwa Vifundo Vya Vidole (Knuckles) Vyeusi
Kuna wale ambao wamezaliwa na vifundo vya vidole vyeusi naturally lakini kuna wale ambao vinasababishwa na kemikali kwa kutumia cream za kujichubua. Vyovyote ambavyo wewe umepata hizi knuckles nyeusi basi leo tupo hapa kukupa tips za rangi gani upake ili kuendana na hali hii. Epuka…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…