Style Ya Nywele Ya Kidoti Inavyo Haribu Nywele Zako
Hii style imekuwa maarufu sana, ni style rahisi kuibana lakini pia ni style ambayo unaweza kwenda nayo popote iwe kazini, kwenye mitoko ya kawaida na sehemu nyingine mbalimbali. Kutokana na urahisi wake wa kubana na kuwa useful wengi wetu tunapenda kuitumia mara kwa mara, lakini…
Faida Za Foronya Za Satin/Silk Kwenye Nywele
Inawezekana unatumia pesa nyingi katika kununua products za nywele lakini bado unaona matokeo sio mazuri au yanachelewa kujionyesha, hii inawezekana ni kutokana na kitambaa cha mto au shuka unalolalia. Mito au mashuka ya cotton huwa yananyonya mafuta kwenye nywele lakini pia kuzifanya ziwe fizzy na…
Je Ni Sawa Kuosha Wig Lako Kwa Kutumia Champagne
Well mwaka 2018 trend ya kuosha nywele kwa kutumia kinywaji cha champagne iliingia sana ambapo tulimuona Instagram star Madina Shrienzada akiwa anaosha nywele zake kwa kutumia Champagne na kwa kunukuu alisema ” IY SHINY π»HAIRπ₯USING CHAMPAGNE π₯ TO RINSE YOUR HAIR! πSooo I TESTED THIS…
Fanya Haya Kuacha Kuharibu Nywele Zako Na Matumizi Ya Moto
Kwa wapenzi wote wanaopenda nywele hakuna kitu kinachoua nywele kama matumiz ya moto unaotokana na dryer, blow dryer au pasi . Jinsi Ya Ku-Blow Dry Nywele Za Asili Bila Kuziharibu Wengi wanaamin kua njia pekee ya kukausha au kunyoosha nywele ni kutumia moto lakin hayo…
HOT TOPICS
#AfroFix | #AfroFix Tuna Fix Nini? βββββββββββββββββ #AfroFix https://t.co/SID1P6QCPM
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa⦠https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa⦠https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show β Big Brother Africa. Kwa…