SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Top 10 Best Dressed At The 2020 AMVCA 

Ukiachana na kuangalia washindi wa Tuzo jicho letu lilikuwa kwenye red carpet, nani amevaa nini na je alipendeza au lah? The most anticipated award show Africa, Africa Magic Viewers Choice Awards ( AMVCA ) Ilifanyinyika jumamosi hii, na watu maarufu wengi walihudhuria wengi wao walipendeza…

Mitindo

The Long Sleeve Glove Dress Trend 

Trends haziishi katika ulimwengu wa mitindo na urembo, kila siku kuna jipya ambalo linaonekana kutokea na ku-catch attention ya watu. Well kwa sasa tunaona the long sleeve glove dress ndio ipo kwenye chat. Mwaka 2013 mwanadada Kim Kardashian alihudhuria katika zulia jekundu la Met Gala…

Fashion Cop

Red Carpet Worthy Looks From Last Week 

Okay ni jumatatu nyingine tena na kama kawaida huwa tunawaletea highlights za week iliyopita, week hii tumeenda global na kuona wenzetu wamefanya nini huko Nchi nyingine. Kulikuwa na events mbalimbali ambapo tumetoa looks zilizotuvutia. Mbunifu na fashionista kutoka Ghana Nana Akua Addo won our hearts…