Beauty Looks From Last Week
A round of applause kwa makeup artist na hair stylist wa Tanzania, we said it once and we will say it again makeup artist & hair stylist wanajitahidi sana katika kuhakikisha sekta yao inakua. Ukiachana na sekta hii kukua na kuwa na upcomings wengi bado…
Celebrities Showing Us How To Wear Red On This Holiday Season
Ni msimu wa mapumziko ambapo sikukuu kama Christmas na mwaka mpya zipo around the corner, msimu huu kunakuwaga na sherehe nyingi zikiwepo harusi, part za hapa na pale za kufungia mwaka. Lakini pia katika msimu huu watu wengi hupenda kutumia rangi nyekundu iwe katika mavazi…
Mid Week Slayage From Nancy Sumari, Lavie Makeup, Lulu Diva & Lillian Kamazima
Oh Well Oh Well, seems like fashion Santa ameitembelea Tanzania mapema kabisa, week hii tumeona watu maarufu wakiwa wamependeza mno. Na wote walionekana kuchagua jumatano kama siku yao ya ku-post mitoko yao. Former Miss Tanzania Nancy Sumari alionekana kwenye hii sequin dress, its a full…
Get To Know Black Tie Theme For Beauty Legacy Gala Tanzania 2020
Hii inaweza kuwa too little too late kwa sisi kuandikia inawezekana umeshaandaa nguo yako ya kuvaa kesho kwenye Beauty Legacy Gala Tanzania 2020, lakini tumeona ni vyema kutoa hii Elimu kabla baadhi yenu hamjatoka na kuharibu theme ya watu Black Tie Attire Theme – Ki…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…