Details On Nandy’s Kitchen Party, Sendoff & Wedding Dresses
Inawezekana uliifuatilia hii harusi kwakina kabisa na ukapenda baadhi ya mavazi (gauni) aliyoyavaa Nandy na hujui yalitoka wapi au unaweza kuyapata wapi,well hizi ndizo details tulizozipata kuhusu magauni aliyoyavaa Nandy. Kitchen Party Dress by Elisha Red Label Nandy alivalishwa na mbunifu kutoka Tanzania Elisha Red…
Elisha Red Label Talk’s About Nandy’s Traditional Wedding Dress
Hongera kwa mwanamuziki Nandy na mpenziwe Billnas ambao hivi karibuni wamevishana pete na kufanya Traditional Wedding, katika Traditional Wedding Nandy alivalishwa na mbunifu Elisha Red Label ambae tumepata nafasi ya kuongea nae kuhusu vazi alilomvalisha mwanamuziki huyo, AFS: Tunaomba Tukujue Kwa Ufupi Elisha: I am…
HOT TOPICS
May Be “May Be” They Will Listen To Flavy 😂, Some Of Them Have Full Makeup On Wanatangaza Product Ya Uso 🤔 https://t.co/1OysMjaJd8
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…