Timberland Boots Are Making A Comeback
Timberland boots zilikuwa founded mwaka 1973 na Nathan Swartz,kutokana na durability ya viatu hivi vilianza kujulikana na kuvaliwa na constructions workers, lumberjacks na wafanyakazi wa kazi nyingine ambazo zinahitajika viatu vigumu. Miaka ya 80 na 90 vikaanza kuvaliwa na watu wa kawaida na hii ilitokana…
Spotted Nandy With Gucci Savoy Medium Bowling Bag
Last time we checked tulim-spot mwanamuziki Nandy akiwa amebeba fake YSL ICARE Maxi Bag, ambapo alijibu pia kwamba yeye hawezi kununua handbag Original kwa bei ghali kwasababu bado hajafika kununua pochi ya bei hio. Leo tume-spot akiwa amebeba hii Gucci Savoy Medium Bowling Bag akiwa…
Reviewing Looks From Wema Sepetu’s Birthday Party
Kunapotokea event kubwa huwa macho yetu yanakuwa kwenye wageni waalikwa as tunajua kila mmoja wao anataka kuvaa apendeze na awe kwenye ile list ya best dressed katika siku hio, Ijumaa Wema Sepetu amesherehekea siku yake ya kuzaliwa na watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika birthday party…
Looks From Gladness Kifaluka’s Gender Reveal Party
Muigizaji na mchekeshaji Gladness Kifaluka amefanya party ya kujua jinsia ya mwanae ambae bado hajazaliwa, na imejulikana Gladness amebeba mtoto wa kiume, hongera sana Glady. Sherehe yake hio ilihudhuriwa na watu mbalimbali ikiwepo marafiki zake Nandy na Zamaradi na hizi ndizo zilikuwa looks zao Gladness…
Reviewing Wedding Guest’s Looks At Raya & Barnaba’s Wedding
Watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika reception ya mwanamuziki Barnaba na mkewe Raya ambao wamefunga ndoa week iliyopita, well tupo hapa kureview nani alivaa nini na was it giving what it suppose to give au its a failed assignment? Nandy Na Billnas tunaweza kusema hii ni…
Reviewing Looks From Nandy & Billnas Daughter’s Baptism
Wazazi wapya Nandy na Billnass ambao wamebarikiwa kupata mtoto wa kike hivi karibuni wame m’batiza mtoto wao jumapili iliyopita na kama tunavyomjua Nandy hanaga shughuli ndogo well alifanya sherehe ambapo aliwaalika na baadhi ya watu maarufu tupo hapa ku-review mionekano yao. Vazi la kanisani la…
Spotted Nandy With Fake YSL ICARE Maxi Bag
Nandy amekuwa moja kati ya wasanii ambao style zake zimetoka sehemu moja kwenda nyingine, tunaona namna ambavyo ana keep up na Dunia kwenye upande wa mavazi amekuwa akijitahidi sana kuonekana stylish, tunapenda hilo kutoka kwake. Week iliyopita Nandy alikuwa na show Mbeya na kama kawaida…
How Celebrities Are Styling Knee/Thigh High Boots
Moja kati ya viatu ambavyo huwa vina upgrade muonekano ni boots, ukiachana na ku-upgrade muonekano boots huvaliwa mara chache sana hasa huku kwetu Africa kutokana na hali ya hewa yetu kidogo hairuhusu hivyo unapozivaa zinakupa utofauti na ku-stand out na wengine. Tumeona toka mwishoni mwa…
Ramadhani Beauty Looks From Tanzanian Celebrities
Mwezi mtukufu wa Ramadhani umeanza na kama kawaida watu maarufu wengi huwa wanatupa looks za stara katika mwezi huu Mtukufu, kila mmoja anajitahidi kupendeza na looks zake za stara, tumewaona watu maarufu kadhaa wakiwa wamependeza na hijab zao na makeup pia, well ukifunga haimaanishi usipendeze….
Beauty Looks From Last Week
Linapokuja swala la makeup watu maarufu huwa hawa-play games, the face must serve hata kama outfit itakuwa ya kawaida lakini sura lazima iwe vyema kabisa, iwe ni simple makeup au bold makeup look. Week iliyopita tumewaona watu maarufu mbalimbali waki-serve glam looks akiwepo Fahyma, Hamisa…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…