Elisha Red Label Tells The Story Behind Nandy’s Reception Dress
Tunaweza sema Nandy being a fashionista aliweza kutukosha moyo na her reception dress japo baadhi walikuwa na maoni kinzani juu ya kuonyesha her precious baby bump AFS: Tuanze the dress ambapo the baby bump iliweza onyeshwa, the idea ilitoka wapi, kwako, Nandy ama pamoja? Elisha:…
Details On Nandy’s Kitchen Party, Sendoff & Wedding Dresses
Inawezekana uliifuatilia hii harusi kwakina kabisa na ukapenda baadhi ya mavazi (gauni) aliyoyavaa Nandy na hujui yalitoka wapi au unaweza kuyapata wapi,well hizi ndizo details tulizozipata kuhusu magauni aliyoyavaa Nandy. Kitchen Party Dress by Elisha Red Label Nandy alivalishwa na mbunifu kutoka Tanzania Elisha Red…
Nandy’s Makeup Looks From Kibaokata To The Wedding
Makeup zinaweza kutumika kwa mambo mbalimbali na shughuli mbalimbali, ukiachana na kuwa inaboresha zaidi uzuri wako makeup inaweza kutumika kuficha vitu mbalimbali ikiwepo makovu na chunusi. Kwenye sherehe nyingi makeup imeonekana kutumiwa ili kuongeza uzuri kwa mgeni mualikwa au muhusika mwenyewe. Leo tunaangalia makeup looks…
Wedding Guest’s Looks From Nandy & Billnass’s Wedding
Week iliyopita Jumamosi ya tarehe 16.7.2022, Mwanamuziki Billnass na mpenziwe Nandy walifunga ndoa, na ni moja kati ya ndoa ambazo zimetikisa Nchi kwa namna moja au nyingine. Ikiwa ni harusi ya watu maarufu basi watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika shehere hii na hapa tunaangalia wahudhuriaji…
HOT TOPICS
May Be “May Be” They Will Listen To Flavy 😂, Some Of Them Have Full Makeup On Wanatangaza Product Ya Uso 🤔 https://t.co/1OysMjaJd8
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…