Kutokulala Vyema Kunavyo Athiri Ngozi Yako
Wakati uko busy ku-keep up na night life, kwenda club, kuangalia movies / series usiku kucha ndivyo ambavyo unaharibu ngozi yako pia bila ya kujua, ushauri wa wataalamu wa ngozi ni kulala kwa masaa 7 hadi 8, kulala vyema kunasaidia kupata ngozi nzuri lakini pia…
Tips On How To Stay Healthy & Youthful According To Jacqueline Ntuyabaliwe
Jacqueline ni moja kati ya wakwonge katika mitindo ambao bado wanaonekana vyema yaani kuonekana wadogo kuliko umri wao, wengi wetu huwa tunajiuliza anafanya nini? Mbona ngozi yake bado ipo vizuri? Kupitia Account zake katika mitandao ya kijamii Jacqueline ame-share tips chache za namna ambavyo unaweza…
Namna Ya Kutunza Ngozi Yako Ya Uso Katika Weekend
Inawezekana kutokana na hekaheka za week nzima ulikosa nafasi ya kufanya skincare yako vyema, uli skip moja au mbili, inawezekana week ilikuwa ngumu pia ukapata stress, umetembea juani na ngozi imechoka. Weekend ni muda mzuri wa kurudisha hali ya ngozi yako, ikiwa una muda wa…
Jali Ngozi Kwa Kufanya Haya
Wengi hudhani kujali ngozi ni kupaka mafuta au kutumia skin careĀ lakini kumbe kuna vitu vichache ambavyo tuna visahau kufanya na ni muhimu sana, vitu hivyo ni kama; Badilisha foronya za mito unayolalia. Tunapo lalia foronya kuna bacteria wengi ambao tunawaacha hivyo hata kama ukiwa…
Anti Age Skin Care Tips
Hakuna anaetaka kuzeeka wengi wetu tunapenda kuonekana vijana daima, tukiwaona watu maarufu ambao wana umri mkubwa halafu ngozi zao bado nzuri hazijajikunja huwa tunawaza wanafanya nini au wamewezaje kuwa na ngozi nzuri vile, well leo tunakuibia siri ya wao wanawezaje, Well fuatisha hizo tips na…
Vipodozi Ghali Vya Ngozi Haimaanishi Ufanisi Mzuri
Kwasasa kama kuna industry inayoingiza pesa ukiachana na chakula basi ni skincare, sio kwa wakaka sio kwa wadada wote tunapenda kuwa na mionekano mizuri ya ngozi zetu kila mmoja anatamani apate kipodozi ambacho kitafanya ngozi yake iwe nzuri kabisa. Kutokana na hili basi brand nyingi…
Ni Muda Gani Usubiri Kupaka Makeup Baada Ya Kupaka Skin Care?
Kuwa na skin care routine is no joke, hasa pale ambapo ni mfanyakazi unahitaji kuamka mapema na hata kama umechoka usiku inabidi usipande kitandani mpaka uhakikishe umepaka night skincare yako. Sasa kuna kile kipengele cha asubuhi unataka kuwahi kwenye mihangaiko yako na unatakiwa upake skincare…
Your Skin Can Be Oily And Dehydrated At The Same Time
Kuwa na ngozi yenye mafuta haimaanishi basi huitaji maji wala kupaka mafuta kwenye ngozi yako, watu wenye ngozi zenye mafuta wengi utawasikia wakisema “sipaki chochote ngozi yangu tayari ina mafuta”. Lakini kuna bidhaa ambazo zinafaa wenye ngozi hizi lakini pia hata kama ngozi yako inamafuta…
Je Upi Ni Muda Mzuri Wa Kutumia Vipodozi Vya Ngozi?
Umeshawahi kujiuliza kwanini cream ambayo wengine wengi wanaisifia lakini kwako haifanyi kazi? Umeshawahi kufikiria labda huitumii kwa muda unaotakiwa? ( Muda sahihi). Kujua ni bidhaa gani inafaa kutumia katika ngozi yako ni jambo moja ambalo wengi huwa tunalitilia maanani lakini huwa tunasahau kuuliza ni muda…
Tips Za Kupata Ngozi Nzuri
Kupata ngozi nzuri yenye kuridhisha ni janga, na hii hutokana na maswala mbalimbali kama tunavyokula, ukuaji, tunavyovitumia na mengine mengi. Lakini unaweza kupata ngozi nzuri endapo tu utajaribu kufanya mambo haya manne; Usitumie Bidhaa Za Ngozi Nyingi Wengi wetu tuna hii tabia unatumia kipozi hiki…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…