Je Kahawa Inasababisha Chunusi?
Kahawa ni energy booster iwe unafanyakazi ofisini, uwe ni mama wa nyumbani sote tunahitaji kahawa kuamsha mwili wetu na kuendelea na kazi zetu za kilasiku. Well tulishawahi kusikia kwamba kahawa husababisha chunusi je ni kweli? “Jibu ni kwamba kahawa haisababishi chunusi, lakini kunywa kahawa mara…
Chunusi Na Matibabu Yake
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria. Karibu asilimia 85 ya vijana kati…
Ishara 4 Za Upungufu Wa Maji Katika Ngozi
Kuna tofauti ya ngozi iliyokosa maji ( Upungufu wa maji) na ngozi kavu, Ngozi iliyokosa maji ni ile ambayo imesababishwa na mambo ya nje kama unhealthy diet na life style choices kama unywaji wa pombe na kahawa mara kwa mara, yote haya husababisha kupunguza maji…
Maji Yapi Yanafaa Kuoshea Uso Wako?
Kuosha uso kunawezekana kuonekana kama ni jambo rahisi ( Yes Ni Jambo Rahisi) Lakini kuuosha ipasavyo hapo ndipo ugumu unapokuja. Kuuosha uso wako ipasavyo ndio fungo ya kupata ngozi yenye afya na nyororo. Ukiachana na kuosha uso wako mara mbili, kujua namna unapaswa kuosha uso…
Steps To Glow Skin
Kupata ngozi nzuri yenye kuvutia si swala la siku moja, inahitaji uvumilivu na consistency. Utapokuwa na kupata matokeo kwa haraka unaweza usipate kabisa matokeo mazuri, utabadilisha products na pesa bila kupata matokeo, hizi ni steps chache za kupata glow skin: Maji Anza siku yako kwa…
Usisahau Shingo Katika Kujali Ngozi Yako
Moja ya makosa yanayotokea mara kwa mara kwenye kupaka vipodozi, kujisafisha na kujali ngozi zetu huwa tunasahau sana kuijali ngozi ya shingo, unaweza kukuta ngozi kote ni nyororo na safi lakini shingoni ni pachafu na hapana mvuto kama wa sehemu nyingine. Ukiachana na kutokuwa na…
Makosa Ya Ngozi Unayoyafanya
Utaratibu kwa utuzaji ngozi umekuwa kitu cha kawaida na kizuri, wengi wetu tunachukulia serious sana hili swali kila mmoja wetu anatakakuwa na skin goals. Lakini unaweza kukuta unatumia vipodozi vizuri ila matokeo huyapati unayoyataka hapa sasa ndipo shida huanza, unajijali lakini matokeo hupati kumbe unafanya…
Faida Za Red Wine Katika Ngozi Na Nywele
Hakuna kitu kina kufanya ujisikie vyema baada ya siku ndefu na uchovu kama kukaa sehemu tulivu ukiwa unakunywa mvinyo (wine), ukiachana na kukufanya u-relax lakini pia mvinyo unafaida katika nywele na ngozi yako. Leo tunakupa faida 5 unazozipata kutokana na kunywa red wine. Kupambana na…
Umuhimu Wa Kusoma Lebo Katika Vipodozi
Wengi wetu tunatumia vipodozi mbalimbali katika ngozi zetu, iwe kwa kuondoa kitu fulani au kukifanya kiwe bora zaidi. Imezoeleka kuwatunanunua vipodozi hivi kwa mazoea iwe kwa kuambiwa au kushauriwa na dakitari. Mara nyingi huwa tunasahau kusoma lebo na kuona hakuna umuhimu kwa sababu tu kipodozi…
Mambo Matatu (3) Ya Kuzingatia Ili Kupata Kipodozi Kinachoifaa Ngozi Yako
Kuchagua kipodozi sahihi ni jambo la muhimu katika swala zima la kutunza afya ya ngozi zetu. Kitu chochote tunachopaka kwenye ngozi ni muhimu zaidi ya vile tunavyo fikiri. Baadhi ya watu huchagua kipodozi kwa nia ya kutatua matatizo fulani ya ngozi zao, huku wengine huchagua…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…