SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Faida Za Nyanya Katika Ngozi 

Linapokuja suala la kutunza ngozi na kupata ngozi yenye afya na yenye mvuto, mara nyingi huwa tunafikiria product za gharama kubwa za ngozi, lakini kumbe, suluhisho la ngozi yenye afya linaweza kuwa jikoni kwako. Nyanya, vito hivyo vyekundu vinavyopatikana mara nyingi katika saladi na michuzi,…

Urembo

Kunywa Vinywaji Hivi Kupata Ngozi Nzuri 

Kuwa na ngozi safi, inayong’aa ni ndoto kwa wengi wetu. Ingawa skin care routine ni muhimu, lakipi kile unachoweka ndani ya mwili wako pia kinaweza kuwa na athari kubwa kwa afya na mwonekano wa ngozi yako. Kujumuisha vinywaji vinavyofaa katika utaratibu wako wa kila siku…

Urembo

Kunywa Kinywaji Hiki Kupata Ngozi Yenye Mvuto 

Kupaka vipodozi pekee hakuwezi kukupa ngozi nzuri, bali pia unahitajika kuangalia unachokula pamoja na life style yako, ikiwa kuna hitilafu kwenye kimoja wapo basi utatumia nguvu nyingi sana kupata ngozi unayoitaka. Ikiwa moja ya vitu ambavyo tunashauriwa kula kwaajili ya ngozi nzuri ni matunda na…

Urembo

Does Your Skin Break Out Before It Clears Up? 

Umeshawahi kuanza kupaka kipodozi kisha ngozi yako ikaharibika zaidi ya ilivyokuwa mwanzo? Yes hii huwa inatokea na mara nyingi wengi wetu huwa tunachukulia hii kama dalili ya kipodozi kutokutupenda au ku-fail. Leo tunakuletea au kukufahamisha juu ya Skin Purging, Skin Purging hii ni pale unapoanza…

Urembo

Jinsi Ya Kuwa Na Ngozi Nyororo 

Hatuwezi kukataa sote tunahitaji ngozi laini na nyororo, lakini mbinu au njia tunazotumia muda mwingine hutuacha na matokeo tusiotaraji kupata baada ya kufuata njia hizo. Ni kwasababu tumeumbwa tofauti na tunadhani kutumia njia iliyomsaidia mwingine itatusaidia na sisi na kugundua ni kinyume kabisa. Usijali, hizi…

Urembo

Steps To Glow Skin 

Kupata ngozi nzuri yenye kuvutia si swala la siku moja, inahitaji uvumilivu na consistency. Utapokuwa na kupata matokeo kwa haraka unaweza usipate kabisa matokeo mazuri, utabadilisha products na pesa bila kupata matokeo, hizi ni steps chache za kupata glow skin: Maji Anza siku yako kwa…

Urembo

Jinsi Ya Kutumia Ndizi Kwenye Urembo 

 Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi.Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari zinazojulikana kama ‘sucrose’, ‘fructose’ na ‘glucose’. Hakikisha unanawa uso wako mara mbili  kwa siku. Unapofanya hivyo unaondoa uchafu,Ndizi pia husaidia kuzuia…

Quick Tip

Hatua 3 Rahisi Za Kung’arisha Uso 

Sote tunapenda kuwa na ngozi nyororo yenye mvuto, lakini wengi wetu ni kitu gani sahihi cha kufanya ili kuweza kupata muonekano huo, leo BintUrembo amekuletea hatua tatu rahisi unazoweza kufanya ili kuweza kung’arisha uso wako 1. Tumia Facial Cleanser kusafisha uso wako. Ni nzuri zaidi…

Urembo

Namna Ya Kupata Ngozi Nyororo Kwa Kuogea Maziwa 

Siku chache zilizopita mwanadada aliweka wazi kwamba moja kati ya vitu anavyofanya ilikupata ngozi nzuri ni kuogea maziwa, na watu wengi walishikwa na butwaa kwamba unaogeaje maziwa? Tumeona sio mbaya kama tukiwaletea namna ambavyo unaweza kuogoea maziwa na kupata ngozi nzuri, Kwanini Maziwa? Maziwa ya…