SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Jali Ngozi Kwa Kufanya Haya 

Wengi hudhani kujali ngozi ni kupaka mafuta au kutumia skin careĀ  lakini kumbe kuna vitu vichache ambavyo tuna visahau kufanya na ni muhimu sana, vitu hivyo ni kama; Badilisha foronya za mito unayolalia. Tunapo lalia foronya kuna bacteria wengi ambao tunawaacha hivyo hata kama ukiwa…

Urembo

Tips Za Kupata Ngozi Nzuri 

Kupata ngozi nzuri yenye kuridhisha ni janga, na hii hutokana na maswala mbalimbali kama tunavyokula, ukuaji, tunavyovitumia na mengine mengi. Lakini unaweza kupata ngozi nzuri endapo tu utajaribu kufanya mambo haya manne; Usitumie Bidhaa Za Ngozi Nyingi Wengi wetu tuna hii tabia unatumia kipozi hiki…

Urembo

Namna Ya Kupata Ngozi Ng’avu Kiasili 

Sote tunapenda ngozi ng’avu, lakini hatujui nini cha kutumia tuwe tu wang’avu bila ya kuchubua ngozi zetu, kama ukienda kwenye maduka yavipodozi utasikia wadada wengi wana taka kipodozi cha kuwang’aza lakini kwa bahati mbaya wengi wetu tunakosea hili neno kwa kuwa mweupe, mtu anapo sema…

Urembo

Skin Do & Don’ts 

Kuna vitu vidogo sana lakini ukiacha kuvifanya na kuna ambavyo ukivifanya vinaweza kuleta impact kubwa katika ngozi yako. Vitu vya kufanya: Kunywa Maji Safisha ngozi yako ya uso mara mbili, hii namaanisha osha uso wako mara mbili kila ambapo unaosha uso. Exfoliate taratibu Zingatia lishe…