Reviewing Looks From Drama Queens
Siku ya Jumapili iliyopita kulikuwa na sherehe ya moja ya member ya group inayojiita drama queen ( Irene Uwoya, Wema Sepetu, Kajala Masanja, Aunty Ezekiel, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael). Sherehe hii ilikuwa ya mtoto wa Irene Uwoya na wenzie walienda ku-show support, walichagua Nigerian…
Lupita Nyong’o Stuns In Kitenge
Sio kitu cha ajabu kumuona Lupita akiwa amevalia Kitenge, kama ambavyo wote tunajua Lupita ni m-Kenya akiwa amechanganyika na Mexican. Lakini ni mara chache kumuona mwanadada huyu akiwa amevalia African prints. Akiwa Nchini Nigeria mwanadada huyu alihudhuria event ya celebration of the life Olusegun Akanni…
Nigerian Wear Ruled Last Week & We Ain’t Mad
Leo kwenye weekly highlight tuna Nigerian Theme, yes sote tunajua namna ambavyo wa-Tanzania tunaipenda hii theme na kuipatia haswa, na hii sio tu kwa Nigeria bali theme nyingi za Nchi nyingine huwa tunazipatia kama Indian wear n.k. Week hii tumeona Nigerian wear ndio ilishika zaidi,…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…