Njia Za Kutunza Nywele Wakati Unanyonyesha
Wanawake wengi wanakuza nywele zao vizuri kipindi cha ujauzito na zinakua vizuri lakini mara baada ya kujifungua nywele zinakatika hasa katika kingo za mbele (edges) hii ni kama desturi, Na kuzikuza kurudi zilivyokuwa huwa inachukua muda kidogo, lakini kuna namna ambavyo unaweza kutunza/kujali nywele zako…
Mafuta Unayohitaji Kupunguza Kukatika Kwa Nywele
Kukatika kwa nywele kunaathiri wanaume na wanawake kwaujumla, hali hii haichagui jinsia. Kukatika kwa nywele kunaweza kukupa stress hasa kama wewe ni mpenzi wa nywele zako, kuna ambao hawaoni shida kuzikata ziote upya lakini kuna ambao wanatafuta nini wafanye kudhibiti hali hii. Kuna sababu mbalimbali…
Style Ya Nywele Ya Kidoti Inavyo Haribu Nywele Zako
Hii style imekuwa maarufu sana, ni style rahisi kuibana lakini pia ni style ambayo unaweza kwenda nayo popote iwe kazini, kwenye mitoko ya kawaida na sehemu nyingine mbalimbali. Kutokana na urahisi wake wa kubana na kuwa useful wengi wetu tunapenda kuitumia mara kwa mara, lakini…
Faida Za Foronya Za Satin/Silk Kwenye Nywele
Inawezekana unatumia pesa nyingi katika kununua products za nywele lakini bado unaona matokeo sio mazuri au yanachelewa kujionyesha, hii inawezekana ni kutokana na kitambaa cha mto au shuka unalolalia. Mito au mashuka ya cotton huwa yananyonya mafuta kwenye nywele lakini pia kuzifanya ziwe fizzy na…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…