Njia Ya Kuondokana Na Ukavu Wa Nywele
Kama una nywele natural / za asili utakuwa unajua shida ya hizi nywele kukaa na unyevu au kuwa na mafuta wakati wote. Nywele zetu za kiswahili ni kavu na zinanyonya sana mafuta. Hii method inasaidia kuzipa nywele zako unyevu unaotakiwa. Wengi tukishaosha nywele tunapaka tu…
Himba Tribe Hair Style Trend
Inavyoonekana kwa sasa trend ambayo inatamba ni kusukia Himba tribe hair styles na hapa hatuongelei kuhusu nywele za mbenjuo, rasta bali ni hii hair style kutoka katika kabila la Himba, Nchini Namibia. Style hii ipo ipo muda mrefu na mabibi zetu walikuwa wakiitumia, ilipotea kutokana…
Braids And Natural Hair Moments From Magazine Covers To Runway
Gone are the era’s of praising wigs and weaves, ilikuwa si kawaida sana kukuta watu maarufu wamesukia rasta au kuwa na african natural hair katika covers za magazine au kutembea katika runways lakini kwa sasa tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wanatumia natural hair na rasta…
Fahamu Njia Za Kukuza Nywele Zako
Kwa wapenzi wote wanaopenda kuwa na nywele ndefu za kupendeza, Je wajua hakuna mafuta yanayokuza nywele? Kwamba ukipaka nywele yako itakua haraka ? Kwa miaka mingi tumeamin sana kwamba ukipaka mafuta fulani ya nywele yanakuza nywele haraka na tumeakua tukitafuta mafuta yanayokuza na kujaza nywele….
Fanya Haya Kuacha Kuharibu Nywele Zako Na Matumizi Ya Moto
Kwa wapenzi wote wanaopenda nywele hakuna kitu kinachoua nywele kama matumiz ya moto unaotokana na dryer, blow dryer au pasi . Jinsi Ya Ku-Blow Dry Nywele Za Asili Bila Kuziharibu Wengi wanaamin kua njia pekee ya kukausha au kunyoosha nywele ni kutumia moto lakin hayo…
Mambo Ya Kuzingatia Katika Ukuzaji Wa Nywele Za Asili
Every woman dream is to have healthy natural hair very gorgeous and lovely. Lakin kuweza kupata haya matokeo inahitaji kua na mahusiano mazuri na nywele yako kwakua nywele nzuri sio tu kupaka mafuta halaf nywele ikue hapana. Mambo ya kuzingatia ili uweze kukuza nywele yako…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…