SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Namna Ya Ku-style Sare Zako Za Kazini 

Sote tunawatamani wale ambao hawana sare za kazi, truth be told kuwa na sare kazini kunaweza kukufanya uwe mvivu kwenye kuzi-style na wengi tunachukia sare za ofisini kwa sababu hio, kila mtu anazivaa zinakuwa boring & basic. Lakini huitaji kuwa hivyo tena unaweza kupendeza na…

Mitindo

Namna 5 Za Kuonekana Stylish Kazini 

Moja kati ya vitu ambavyo wengi tunapitia ma-ofisini ni kuwa confused kati ya kuwa over dress na ku-low dress ofisini na chaguo kubwa huwa kuwa katikati yaani usiwe low wala over dressed na hapa ndipo tunapokutana wengi unakuwa na ma shirt yako ya rangi moja…