Neste Talks About Dressing Meena Ally At BSS 2023
We are nestefied! Tulimuona media host kwenye fainali za BSS 2023 kapendeza sana hivyo Afro tuliweza fanya mahojiano na the man behind Meensβs wow looks AFS: Tumeona previous collaborations toka kwako na Meen Ally and this is among the best. Waweza tuelezea the inspiration behind…
Mc Garab Akituambia Kuhusu Mitindo Na Style Zake
Tukisema Tasnia ya mitindo Tanzania inakua hiki ndicho tunachomaanisha, zamani ilikuwa Mc anavaa tu hajali kuendana na sherehe lakini kwa sasa ma Mc wanajitahidi sana kama bwana harusi au bibi harusi akizubaa Mc anaweza kumfunika, Moja kati ya ma-Mc ambao wanafiwa na wanastahiki sifa katika…
Irada Styles Took Us Through Her Look For Sinema Zetu International Film Festival 2019
Tumepata nafasi ya kuongea na hijabista Irada Styles ambae yeye ni modesty stylist na designer, leo tunaongelea kuhusu muonekano wake wa Sinema Zetu Film Festival ambapo tumepata kumuuliza maswali machache kuhusu muonekano wake na wengine kwa ujumla Afroswagga: imekuchukua masaa mangapi ku-create the look Irada:Β …
One On One With Model Calisah After Winning Mr. Africa International
Calisah ni moja kati ya wanamitindo wakubwa kabisa kutoka Tanzania, Week iliyopita Calisah aliweza kushinda taji la Mr. Africa International huko Nchini Nigeria kulikofanyika shindano hilo, ukiachana na kuwa mwanamitindo wa kwanza kupata taji hili Nchini Tanzania lakini pia ni mwanamitindo wa kwanza kuchukua taji…
International Model Niler Bernard Took Us Through Her Modelling Career
Niler Bernard ni moja kati ya wanamitindo ambao sisi tunawaona mbali, tunaweza kusema she is a dare devil anapenda kuvuka mipaka yake, ni model ambae yuko tayari kufanya chochote kwa ajili ya kazi yake na hii spirit ndiyo iliyo mfanya leo anaitwa International model, you…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se⦠https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…