Viktor & Rolf Showcase Floating Gowns At PFW 2023
Wabunifu Viktor & Rolf wameweka headlines katika Dunia ya mitindo baada ya ku-showcas collection yao inayoitwa Late Stage Capitalism Waltz’, ambapo katika collection hio kulikuwa na magauni yanaelea. Magauni haya yalibuniwa na kuvaliwa kwa namna ya kipekee, ambapo yalikuwa hayapo mwilini bali yalishikiriwa na gauni…
Doja Cat Head To Toe Red Look At Paris Fashion Week 2023
The Paris Haute Couture Fashion Week for Spring-Summer 2023 imeanza na imeshaanza ku-make headline huko kwenye mitandao ya kijamii, show ambayo imeonekana ku create buzz kwa wingi ni hii ya Schiaparelli ambayo alihudhuriwa na watu maarufu kama Kylie Jenner, Naomi Campbell, Irina Shayk na Doja…
Kylie Jenner & Irina Shayk Twinning Moment At Paris Fashion Week
The worse nightmare ambayo watu maarufu wengi huwa wanaiogopa ni kuingia sehemu hasa kwenye event kubwa ukiwa umevalia vazi ambalo mtu mwingine maarufu amevalia, hii amekutana nayo enterprenur Kylie Jenner na mwanamitindo Irina Shayk huko Paris ikiwa wote wakiwa wamevalia vazi la aina moja. Wakiwa…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…