Reviewing Looks From Behind The Gram Reality Show Launch
Kajala na Paula wamekuja na reality show yao ambayo imepiwa jina la “Behind The Gram” reality show hii itaonyesha maisha yao behind na social media. Walizindua reality show yao siku ya Jumatano, Hyatt Regency na tupo hapa ku-review mionekano yao. Paula alivalishwa na Rackel Stylish,…
How Celebrities Are Styling Knee/Thigh High Boots
Moja kati ya viatu ambavyo huwa vina upgrade muonekano ni boots, ukiachana na ku-upgrade muonekano boots huvaliwa mara chache sana hasa huku kwetu Africa kutokana na hali ya hewa yetu kidogo hairuhusu hivyo unapozivaa zinakupa utofauti na ku-stand out na wengine. Tumeona toka mwishoni mwa…
Paulah Kajala Wig Do A No No
Wig, lace fronts & weaves zinaweza kuwa rafiki mzuri wa wadada au zikawa adui mkubwa kwao, kupata wig inayoendana na sura yako ni jambo moja lakini kuwa installed vyema ni jambo lingine na tunaweza kusema hapa ndipo utata utapotokeaga. Paula Kaja ni moja kati ya…
Denim Affairs With Paula Majani
Denim ni vazi ambalo linaweza kuvalika mara nyingi na kwa namna nyingi upendavyo, unaweza kuvaa casual, date, ofisini na kwenye occasion mbalimbali, well ikiwa vazi hili lipo kwa miaka na miaka, wabunifu wamekuwa wakijaribu kuli-modify na kuleta mitindo ya namna tofauti tofauti. Leo tunakuletea Paula…
6 Times Rayvanny & Paula Served In Matching Outfits
Mwanamuziki Rayvanny na mwanamitindo Paula Kajala ndio power couple kwasasa. Wawili hawa wame-confirm uhisiano wao week chache zilizopita katika 19th Birthday ya Paula. Since wawekewazi uhusiano wao huu Rayvanny na Paula wamekuwa wakiserve looks zao pamoja, ambapo mara nyingi wameonekana ku-match outfit zao. Ambacho tunaweza…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…