The Denim Knee High Covers Trend
Kama kuna kitu tunajua kwa hakika ni kwamba kila mwaka denim (jeans) lazima i-trend na kwa namna za kipekee kabisa, kulikuwa na skin jeans, zikaja mom jeans, tukaenda kwa distressed jeans, kukawa na deconstructed jeans na sasa tumehamia kwenye denim knee high covers. Denim knee…
Reviewing Looks From Behind The Gram Reality Show Launch
Kajala na Paula wamekuja na reality show yao ambayo imepiwa jina la “Behind The Gram” reality show hii itaonyesha maisha yao behind na social media. Walizindua reality show yao siku ya Jumatano, Hyatt Regency na tupo hapa ku-review mionekano yao. Paula alivalishwa na Rackel Stylish,…
How Celebrities Are Styling Knee/Thigh High Boots
Moja kati ya viatu ambavyo huwa vina upgrade muonekano ni boots, ukiachana na ku-upgrade muonekano boots huvaliwa mara chache sana hasa huku kwetu Africa kutokana na hali ya hewa yetu kidogo hairuhusu hivyo unapozivaa zinakupa utofauti na ku-stand out na wengine. Tumeona toka mwishoni mwa…
Wema Sepetu & Paula Failed The Assignment
Wema na Paula walihudhuria event ya Marioo ambapo alikuwa ana release album yake inayoitwa the kid you know. Event ilifanyika katika ukumbi wa mlimani city na wengi walihudhuria akiwepo chimama Wema Sepetu na Paula. Wema alivalia red & black outfit hii outfit ina mambo mengi…
Makeup Looks Spotted Last Week
Last week kulikuwa na mengi kuanzia birthday za watu maarufu mbalimbali, mitoko ya hapa na pale na wengine waliamua tu kujipendezesha. Well tumeona kwasasa watu maarufu wengi hawapost full looks lakini wanahakikisha kupamba page’s zao katika mitandao ya kijamii kwa ku-post beauty looks zao. Week…
Platform Heels Are Having A Moment
Mnakumbuka layzon vile viatu vina sole kubwaa walikua wanavaa zamani? Well zimerudi kwenye trend lakini this time zikiwa modified vizuri na kuweza kuvalika kisasa.Tunachopendea hii trend ni kwamba ata ambae hawezi kuvaa viatu virefu anaweza kuvaa hivi viatu maana sole yake ni pana inakuwezesha kutembea…
Paulah Kajala Wig Do A No No
Wig, lace fronts & weaves zinaweza kuwa rafiki mzuri wa wadada au zikawa adui mkubwa kwao, kupata wig inayoendana na sura yako ni jambo moja lakini kuwa installed vyema ni jambo lingine na tunaweza kusema hapa ndipo utata utapotokeaga. Paula Kaja ni moja kati ya…
Reviewing Celebrities Outfits On Eid
Baada ya ndugu zetu waislam kumaliza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, huwa washerehekea Eid siku hii wengi huwa wanavaa mavazi mapya, kupika vyakula mbalimbali na kutoka na familia na marafiki. Tumeona watu maarufu mbalimbali ambao walishare mionekano yao katika sikukuu/holiday hii ambapo kwa wanawake…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…