SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Cardi B Anavyo Slay Katika Ujauzito Wake 

Rapper Cardi B alitangaza ujauzito wake jumapili hii akiwa ana perform katika show ya saturday night live, Japo watu walikuwa tayari wameshaanza kumuhisi Cardi na kama amefanya ionekane official tu. Cardi ana ujauzito ambao amepewa na rapper mwenzie Off Set Kutoka katika kundi la migos. Well hongera…