Style Blogger Azure Kange Ametupa Tips Za Kustyle Mavazi Ya Ofisini Katika Mwezi Ramadhani
Tukiwa tunaelekea katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, tumemtafuta style blogger Azure ametupa tips chache za nini uvae au uwe nacho katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, ni matumaini yetu utapata mawili matatu ya kukusaidia Afroswagga – Tuambie must have’s au essentials za kuwa nazo katika mwezi…
Iftar Outfit Ideas Kutoka Kwa Modest Fashion Blogger Ganiyat Salami
Ganiyat Salami ni modest fashion blogger ambae yeye blog yake na style zake zime bas upande wa ofisini zaidi yaani Work Fashion. Tumependa style zake na hizi ndizo tulizo zipata kutoka kwake ambazo wewe unaweza kuzitumia katika mialiko yako ya Iftar. Unaweza kuvaa a long tuxedo…
Reviewing Irada Mahadhi 2018 Collection
Irada Mahadhi ni moja kati ya hijabista wanao fanya vizuri hapa Tanzania, ana unique styles ambazo kila mtu akimuona anavutiwa nae, ukiachana kuwa hijabista Irada ameingia kuwa mbunifu wa mavazi ya stara lakini pia ni hijab stylist (way to go girl). Well leo tuna review…
Namna Ambavyo Watu Maarufu Wame-Style Kanzu Zao
Tumeingia kumi la pili katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Week iliyopita tuliona jinsi ambavyo watu maarufu mbalimbali wali-style mavazi yao wakati wamekwenda kufturu pamoja na kuzindua kipindi cha nyumba ya Imani katika wasafi headquater, Nani Amependeza Na Nani Ametuangusha Katika Red Carpet Ya Nyumba Ya…
Stylish Ramadhani Outfit Kutoka Kwa Mwamvita Na Penny
Ramadhani inaendelea na kumi la kwanza linakaribia kuisha, katika pita pita zetu tumekutana na fashionista’s wawili ambao outfit zao zimetuvutia katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani Kama ambavyo tulisema uhitaji kutumia au kununua mavazi mapya mwezi huu unaweza kutumia yale uliyonayo ndani na kuyageuza yakakaa…
Reviewing Mima’s 2018 Collection
Ikiwa ni Ijumaa nyingine katika Mwezi huu Mtukufu Wa Ramadhani tunakuletea collection za mavazi ya stara ambazo zilikuwa debuted katika jukwaa la Stara Fashion Week 2018, Katika collection ambazo tumezipenda hii nayo ilikuwa moja wapo. Unajistiri lakini yet upo fashionable. Nini Tunategemea Kuona Katika Stara…
Namna Ya Kutumia Mavazi Yako Ya Kila Siku Katika Mwezi Wa Ramadhani
Ramadhani imefika na katika mwezi huu wengi huwa tunabadili aina ya mavazi, wengi tunajaribu kujifunika na kujistiri kuendana na mwezi huu. Basi kuna wengi ambao uhangaika katika swala zima la mavazi kununua mapya ili waweze ku-cope na mwezi lakini kumbe unaweza ukawa nayo ndani na…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…