Style Ya Rasta Inayo Trend Kwasasa
Kama kuna urembo ambao hauchoshi na kilakukicha wasusi wanabuni styles mpya basi ni rasta, kila mara tumekuwa tukiona zinakuja styles mbalimbali ambazo ni nzuri hasa na za kupendeza. Kwa sasa style ambayo inatrend ni curly loc braids. Tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamesukia mtindo huu…
Misuko Ya Rasta Kutoka kwa Vanessa Padi
Kusuka rasta huwa kunatu-save sana wadada, ukisukwa rasta vizuri unaweza kukaanazo muda mrefu unachotakiwa kufanya ni kuzijali, kuziweka ziwesafi na kubadilisha style mara kwa mara. Lakini kuna struggle ambayo wengi tunapitia nayo ni kujua mtindo/msuko gani wa rasta usuke. Leo tunakuletea mitindo michache tuliyoiona kwa…
Box Braids with Curly Ends Trend
Kama wewe ni mpenzi wa rasta basi tunauhakika utaupenda huu mtindo ambao una trend kwasasa, unaitwa Spanish braiding extensions au box braids with curly ends. Style hii ya rasta inaishia na mawimbi mwisho ambayo inakupa nafasi ya kuzi-style namna mbalimbali bila kuchosha. Kwa wale ambao…
Namna Ya Kuandaa Rasta Zako Kabla Ya Kuzisukia
Asilimia kubwa ya wanawake kwa wanaume kwa sasa wanasukia rasta, ni namna moja ya ku-protect nywele zako asilia lakini pia kuonekana mtanashati. Lakini mara nyingi baada ya kusikia rasta tunapatwa miwasho, hii ni kutokana na kemikali zilizopo katika rasta hizo tulizosukia. Lakini unaweza kuepukana na…
Lulu Diva, Ciara Na Zuchu Wakiwa Katika Floor Length Braids Trend
Inaonekana trend kubwa kwa sasa ni kusukia rasta ambazo ni ndefu mpaka chini tunaposema chini tunamaanisha zinagusa ardhi. Mwaka 2017 tulimuona mwanadada Nicki Minaj ambapo yeye alisumia rasta ndefu hivi katika video ya motor sport. Nicki alisema ilimchukua masaa 36 kusuka nywele hizi ambapo hii…
Braids And Natural Hair Moments From Magazine Covers To Runway
Gone are the era’s of praising wigs and weaves, ilikuwa si kawaida sana kukuta watu maarufu wamesukia rasta au kuwa na african natural hair katika covers za magazine au kutembea katika runways lakini kwa sasa tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wanatumia natural hair na rasta…
Style Mpya ya Rasta za Kitenge kutoka kwa Di’Ja
Tumeziona Kwa Mara Ya Kwanza Kutoka Kwa Mwanamuziki Hadiza Blell A.K.A Di’Ja,Kutoka Nigeria… Di’ja Ame Rock Colorful Ankara (Kitenge) Braids Ambazo Zinaonekana Zinakuja Kuwa Katika Trend.   hiki ni kitenge kina Kijani na ranging nyingine nyingine Di’ja Ame chukua muda wake kutuelezea kuhusu rasta hizi…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…