Reviewing Nitongoze by Rayvanny Ft Diamond Video Looks
Nani ambae ana heart break na haijui huu wimbo? wimbo una trend na unagusa wengi, kama wengine mimi nilikuwa mmoja ya watu ambao walikuwa wanasubiri hii video itoke, kiukweli ime ni-disappoint kidogo nilijua itakua more of dancing video ila director kaamua kupita kushoto, sio mbaya…
Cha Kujifunza Kutoka Kwenye Video Ya Maluma X Rayvanny
Did we miss this section? Okay we missed you too, sababu ya sisi kuwa kimya ni kwamba hakukuwa na la kushtua sana kwenye upande wa styling kwenye music video zetu Tanzania ila hii ya Maluma na Rayvanny imetuamsha kidogo usingizini tukaona si mbaya tukaliongelea hapa….
Rayvanny Afanya Dhambi Ya Kutokujua Nini Avae Wapi
Katika vitu ambavyo huwa tunapaswa kuangalia katika kuchagua mavazi ni kujua sehemu unayoenda unatakiwa kuvaaje. Kuna sehemu ukivaa mavazi ya aina fulani unaweza kuwa kituko mfano: huwezi kuingia ofisini ukiwa umevalia pensi. Hiki ndicho kilichomkuta mwanamuziki Rayvanny kutoka label ya WCB ambae alikwenda Nchini Kenya…
6 Times Rayvanny & Paula Served In Matching Outfits
Mwanamuziki Rayvanny na mwanamitindo Paula Kajala ndio power couple kwasasa. Wawili hawa wame-confirm uhisiano wao week chache zilizopita katika 19th Birthday ya Paula. Since wawekewazi uhusiano wao huu Rayvanny na Paula wamekuwa wakiserve looks zao pamoja, ambapo mara nyingi wameonekana ku-match outfit zao. Ambacho tunaweza…
How Celebrities Attended The Late Hon. Magufuli Funeral
Mamia ya watu walikusanyika Chato mkoani Geita Tanzania, kumzika aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk John Pombe Magufuli. Ambapo kulikuwa na watu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali walioenda kumsindikiza katika safari yake hii ya mwisho. Katika waombolezaji hawa kulikuwa na watu maarufu kama Diamond…
Our Two Cents On Rayvanny’s New Style “Mkupuo Style”
Waswahili husema “Miluzi Mingi Humpoteza Mbwa”, Tumekuwa tukiongelea mara kwa mara kuhusu styles za wasanii wetu. Kuna wale ambao wanafanya vizuri na styles zao na kuna wale ambao wao alimradi Dunia inazunguka basi maisha yanaendelea. Leo tunamuona msanii kutoka kundi la WCB aitwae Rayvanny, Ray…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…