Ini Edo Ametuonyesha Jinsi Ya Kurudi Kuvaa Mavazi Yako
Mara nyingi huwa tunatilia mkazo kununua mavazi ambayo unaweza ku-style zaidi ya mara moja na kwa namna tofauti, unaweza kuwa na essentials pieces chache katika kabati lako lakini ukawa unazitumia vizuri katika ku-style. Huitaji kujaza kabati na kupoteza hela na nguvu nyingi katika kununua mavazi…
How To Style Your Office Trouser To Fit The Weekend Style
Umeshawahi kutaka kuvaa suruali yako ya ofisi weekend lakini ukawaza sasa nai-style vipi hii suruali na ipo too official? usijali we got you. Kwanza inabidi ujue hakuna vazi lililo andikwa hili ni kwa ajili ya ofisi hili kwa ajili ya weekend ni namna ya ku-style…
Rihanna Aja Na Style Hii Ya Kuvaa Short Skirt
Linapo kuja swala la mitindo na urembo leave it to mwanadada Rihanna, wakati wafuasi wake wa muziki wakipiga kelel kwa kutaka nyimbo mpya redioni Rihanna yupo busy kujenga empire yake katika ulimwengu wa mitindo na urembo. Ukitajiwa Rihanna katika ulimwengu wa mitindo vitu vingi vitakujua…
Fashion Blogger Jacqueline Albert Terry Akituonyesha Namna 2 Za Kustyle Blazer
A coat ni essential ambayo haitakiwi kukosekana katika kabati lako, hasa kile kipindi ungependa kuonekana elegant, official au hata ile mitoko ya business casual coat ina beba asilimia kubwa sana. Well wengi tunajua style moja tu ya kuvaa blazer nayo ni ile ya kawaida lakini…
Namna 5 Za Kuvaa Blazer Nje Ya Ofisi
Tumezoea kuvaa blazer (koti) ofisini au kwenye mikutano maalumu mfano business meetings, na tukitoka hapo hatuzitumii tena mpaka pale tutakapo pata jambo linalo husiana na kazi au biashara, tukiamini kwamba vazi hili limebuniwa kwa shughuli hizo tu, lakini si kweli unaweza kuvaa blazer yako mahala…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…