Reviewing Looks From Behind The Gram Reality Show Launch
Kajala na Paula wamekuja na reality show yao ambayo imepiwa jina la “Behind The Gram” reality show hii itaonyesha maisha yao behind na social media. Walizindua reality show yao siku ya Jumatano, Hyatt Regency na tupo hapa ku-review mionekano yao. Paula alivalishwa na Rackel Stylish,…
Reviewing Hamisa Mobetto,Zuchu & Phina Looks At Soundcity Africa Awards
Jumamosi iliyopita kulikuwa na Tuzo za Sound City Africa huko Nigeria ambapo watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika Tuzo hizo huku Tanzania tukiwakilishwa na Hamisa Mobetto, Phina pamoja na Zuchu. Kama ilivyo ada yetu tuliangalia nani amevaa nini na je tuliwakilishwa vyema au tia maji tia…
Wema Sepetu & Paula Failed The Assignment
Wema na Paula walihudhuria event ya Marioo ambapo alikuwa ana release album yake inayoitwa the kid you know. Event ilifanyika katika ukumbi wa mlimani city na wengi walihudhuria akiwepo chimama Wema Sepetu na Paula. Wema alivalia red & black outfit hii outfit ina mambo mengi…
Reviewing The Kid You Know Album Release Looks
Jumamosi iliyopita ilikuwa album release ya msanii Marioo, ambapo aliamua kufanya event pale Mlimani City na kuhudhuriwa na watu maarufu na fans wake. Well kama kawaida yetu tuliangalia nani amevaa nini na Je kapendeza au lah? Bado tunaona kuna tatizo la kujua cha kuvaa kutokana…
Mahaumes Aongelea Kuhusu Kufanya Kazi Na Jokate Mwegelo
AFS: Tunaomba Tukujue Kwa Ufupi Mahaumes: Jina langu ni Mahaumes Patron born and raised in Dar. Started designing in 2017 AFS: Je Inspiration Behind Ile Gauni Ni Nini? Mahaumes: Inspiration yetu ilikua ni to present a woman in different ways like she can be working…
Namna Ambavyo Regina King Ana Slay Virtual Red Carpets
Kutokana na gonjwa la Corona kwa sasa event nyingi zinafanyika zikiwa zinahudhuriwa na wageni wachache, wengi wanakuwa majumbani. Lakini hii haiwazuii wengi kuvaa na ku-post katika mitandao ya kijamii kuonyesha kama wange hudhuria basi hilo ndio vazi wangelivaa. Well moja kati ya watu maarufu ambao…
Top 10 Best Dressed At The Met Gala 2019
Met Gala ni hafla inayofanyika kila mwaka, hafla hii uhusiana na harambee ambayo zinakusanywa fedha kwa ajili ya kusaidia makumbusho ya Metropolitan Arts costume Institute huko New York. Kila mwaka kunakuwa na Theme ya mavazi, mwaka jana ilikuwa Heavenly Body na Rihanna took the best…
Kivazi Cha Jokate Mwegelo Katika Kisarawe Charity Gala Awards Night
Jumamosi kulikuwa na event ya Kisarawe Charity Gala, ambapo hii event ilikuwa inahusuiana na harambee ya kuchangisha ujenzi wa shule kwa ajili ya Watoto wa Kike. Ilifanyika ukumbi wa mlimani city na watu maarufu wengi walihudhuria, leo tutaongelea vazi alilolivaa muhusika ambae ni Jokate Mwegelo katika…
Tanzanite Womens Forum & Lunch 2019
Tanzanite Womens Forum & Lunch imefanyika jumamosi ya tarehe 9, ambapo watu maaarufu mbalimbali walihudhuria event hii, na sisi tulichukua kalamu yetu kuandikia nini una paswa kuvaa katika event hii, na leo tupo hapa kuwaletea report nini kilitokea na nani aliitendea haki blue carpet ya …
Nani Amevaa Nini Katika Tuzo za Sinema Zetu International Film Festival 2019
Jumamosi ya tarehe 23 kulikuwa na ule usiku mkubwa wa Tuzo za Zetu International Film Festival 2019 , ambapo tuzo hizi huwa zinatolewa kwa ajili ya yoyote aliyekuwepo katika tasnia ya filamu ni kama Oscars lakini hizi za Tanzania, kama kawaida tulikuwa tunaangalia nani atavaa…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…