Hamisa Mobetto has been slaying right and left this year, amekuwa akitu-serve look after look na tunapenda tunachokiona. Hivi karibuni alipost picture katika account yake instagram akiwa amevali gauni jekundu ambalo alikuwa inspired na mwanamuziki Beyonce. Hamisa alivaa gauni hili likiwa limeshonwa na brand yake…