Tanzania Red Ribbon Fashion Gala ilifanyika jumamosi tarehe 30 wakati hii ni siku ya Ukimwi Duniani, kama ambavyo dhumuni la event hii ni kusaidia kuhamasisha na kusambaza taarifa kuhusu World Aids Day kupitia Fashion Na Pesa Zinazopatikana Zinaenda Kusaidia Kuwapa Ujuzi Watu Wenye Ulemavu Pamoja…