SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Red Carpet Looks From The Oscars 2023 

Tuzo za “The Oscars” ni Tuzo hutolewa kwa artistic na technical merit waliopo katika tasnia ya filamu, Watu maarufu mbalimbali ambao wapo kwenye Tasnia hii hualikwa na kuhudhuria hafla hii ya ugawaji Tuzo, well kwa mwaka huu imefanyika usiku wa kuamkia leo na tupo hapa…

Mitindo

Asake And Rihanna Rocking Skirt As A Top 

2018 Rihanna alionekana kwenye mishe zake akiwa amevalia denim look, huku akiwa amevalia skirt kama top au au accessory na sote tunajua mwanadada huyu anavyopenda ku-take risk hasa linapokuja swala la mitindo. Rihanna Aja Na Style Hii Ya Kuvaa Short Skirt last weeke mwanamuziki kutoka…

Habari

Rihanna Arudia Kuvaa Jacket Hili Baada Ya Miaka 7 

Major congratulations to Bad Gal Riri na mpenziwe Asap Rocky ambao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza, As usual Rihanna never disappoints amekuwa aki-slay maternity looks zake back to back kuanzia pregnancy revealing photoshoot, to street style & red carpets. Lakini ambalo tumeona hivi karibuni…

Mitindo

Looks From Met Gala 2021 

Wenyewe huwa wanaiita “fashion’s biggest night out,” the Met Gala 2021 ni fundraising benefit for the Metropolitan Museum of Art in New York City. Mwaka huu wa 2021 Theme ya event hii ilikuwa “In America: A Lexicon of Fashion, theme hii  honors anything and everything…

Habari

Gq Wamtaja Asap Rock Kuwa Prettiest Man Alive 

Rapper Asap Rock ametajwa kuwa prettiest man alive na gazeti kubwa la GQ, Asap amekuwa aki-make headlines kutokana na mitindo yake mbalimbali ya mavazi. Ni moja ya rapper ambao anavaa chochote kitakacho mpendeza machoni kwake, kuanzia skirt, kupaka rangi kucha na kuvaa babushka. katika interview…

Mitindo

Bottega Veneta Wrap-tie Mesh pumps 

Bottega Veneta wamekuwa wakitoa trending products back to back, zilianza handbags na sasa ni hivi viatu ambavyo ni Wrap Tie Mesh Pumps, viatu hivi vinauzwa USD 930 sawa na TSH 2,156,863.44. Tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia hivi viatu akiwepo Rihanna, Nicki Minaj, Toke Makinwa,…

Mitindo

Rihanna Is Making The Street Her Run Way 

Rihanna amekuwa kimya kwa muda sasa kuanzia kwenye muziki hadi kuonekana mitaani ( Inawezekana kutokuonekana ni kutokana na janga la corona). Lakini hivi karibuni ameonekana mitaani akiwa ametoka kwaajili ya shughuli zake mbalimbali na kama kawaida she is slaying the streets. Ameonekana akiwa kwenye mavazi…