Clogs Are The It Shoes For The Moment
Clogs zinzaonaka kuanza kuzipoteza crocs, tofauti kubwa ya clogs na crocs ni kwamba clogs zimekaa kipedezee kidogo zinapatikana in leather au suede materials na zinamunekano fulani unaweza kuvaa zikaonekana vizuri kuliko crocs ambazo zimekaa casual zaidi. Kwasasa zinaonekana ku-trend sana hasa kwa upande wa wanaume,…
Best Dressed At I Am Zuchu Event
Its been a while toka Tanzania tuwe na event kubwa ambayo imewakutanisha wasanii mbalimbali pamoja, Jumamosi kuikuwa na event ya msanii kutoka katika label ya wasafi classic baby Zuchu ambapo alikuwa anatoa shukrani kwa mapokezi aliyoyapata. Kwanza tuanze kwa kusema finally, tumepata event ambayo red…
Rio Paul’s Virtual Global Birthday Soiree Fashion Review
Tukiendelea kuchukua tahadhari elekezi katika kujikinga na COVI19, tuliweza sheherekea birthday ya Tanzania’s male fashionista and stylist, Rio Paul kupitia his social media online. The virtual global birthday soiree haikuweza kamilika bila the best fashion statements and Afro’s review. Rio Paul A happy birthday it…
5 Travelling Style Tips Kutoka Kwa Stylist Rio Paul
Kusafiri kumekuwa so much fun kwa sasa, ukiangalia watu maarufu wakiwa na outfit zao za safari unajiuliza how do they pull it off? Wanawezaje kuwa stylish kiasi hiko wakati wanasafiri? Moja ya watu maarufu ambao wanatuvutia na traveling styles zao ni stylist Rio Paul, he…
Namna Ambavyo Watu Maarufu Walivyotutakia Heri Ya Christmas
Christmas hii ilipambwa hasa, watu maarufu wengi walionekana kufanya photoshoot zenye theme ya rangi za Christmas ambazo ni kijani na nyekundu lets say most of them nailed their look.
Round of Applause For These Fashionable Tanzanian Men
Kwenye fashion highlight za week hii tuna wanaume hawa kutoka Tanzania ambao tuliwaona wamevaa na kupendeza hasa week iliyopita, ni mara chache kuona wanaume wakichukua taji la kuwa wame-own the week kwa kuwa fashionable na week iliyopita ni moja kati ya week ambayo tuliona looks…
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…