Tuchukue Jibu Gani Kutokana Na Ukimya Wa Basata?
Hivi karibuni Miss Tanzania organization walimvua uwakilishi wa Miss World, Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere ambae alifikisha swala hili katika Baraza la Sanaa Tanzania. Baraza walitoa Tamko ya kwamba Rosey anafaa kuwakilisha Nchi katika mashindano hayo. Kizungumkuti Kuhusu Miss Tanzania Lakini Miss Tanzania Organization walipinga…
Basata Vs Miss Tanzania Organization
Vuta nikuvute ya nani atakaeenda kuwakilisha Nchi katika mashindano ya urembo Duniani inaendelea kuwa kubwa. Juzi Miss Tanzania Organization ilitoa taarifa kwamba Miss Tanzania Rose Manfere hatoweza kwenda kuiwakilisha Nchi katika mashindano hayo kutokana na utovu wa nidhamu, Rose alijibu kwa kusema hana hio taarifa…
Kizungumkuti Kuhusu Miss Tanzania
Jana taarifa ilitoka kutoka kwa Miss Tanzania Organization kwamba aliyekuwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere hatoweza kwenda kushiriki mashindano ya dunia ya urembo kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa hii ilishtua wengi na wengine kuhoji Utovu huu wa nidhamu ni upi? Utovu Wa Nidhamu Wamponza…
Utovu Wa Nidhamu Wamponza Miss Tanzania Rose Manfere
December 7, 2020 Tanzania ilimvika taji mrembo Rose Manfere kuwa Miss Tanzania 2020/2021 ambapo alitakiwa kutuwakilisha mwaka huu Puerto Rico katika Mashindano ya Dunia ( Miss World). Lakini hivi karibuni Kamati Ya Miss Tanzania imetangaza kumvua taji mrembo huyu na kumpa uwakilishi mshindi wa pili…
Rosey Manfere Serving Beauty
Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere amepost picha zake mpya katika ukurasa wake wa Instagram, katika hizi picha Rosey ametuonyesha uwezo wake wa ku-serve nothing but face & beauty. Rosey amevalia accessories kutoka kwa @gcina_culture_designer MUA @perfectglow_tzPhoto credits @pafectstudio Hair @mamaafrica_mua, we have to say, japo team yake wamejitahidi…
HOT TOPICS
As long as hakuna Aya,Mstari Au Kifungu Kinachosema “Kuto Kuoga Ni Dhambi Au Kosa Kisheria” Then Perfume na Bodyspray Tu Zinatosha Msimu Huu
FollowDown To Very Little Details, Read More Here 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://t.co/IeYufSGMgy https://t.co/IeYufSGMgy
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…