SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Maoni Yetu Katika Fashion Couture Affair Event 2019 

Tarehe 23 Feb 2019, Tamasha la mitindo liitwalo Fashion Couture Affair lilifanyika kwa mara ya kwanza hapa Nchini kwetu Tanzania, wabunifu mbalimbali wali-showcase kazi zao na tunaweza kusema we can’t wait kuona mwakani watatuletea nini. Onyesho hili lilijumuisha wabunifu kutoka Tanzania na Nchini Kenya tulipata…

Mitindo

Runway Report From Glitz Africa Fashion Week 2018 

Glitz Africa Fashion Week imeanza huko Ghana, wabunifu kutoka Africa wameshiriki ku-show case collection zao, kuna vingi ambavyo tumeviona na vya kujifunza katika Glitz Africa Fashion Week tukiwa tunaelekea katika SFW 2018 let’s see wenzetu wameonyesha mitindo gani. LUMIERE WOMEN did women of middle age and…

Mitindo

Fendi Spring 2019 Ni Moto Wa Kuotea Mbali 

Fendi is having a moment wakati msimu uliopita ulikuwa all about the logos and oh boy tulizichoka, mtaani kila mtu kavaa Fendi Logo, ukiingia mitandaoni Fendi but well its all about the Mulla & mapenzi na trends za fashion, katika Collection ambazo tulikuwa tunazisubiri kwa…