VITU VITATU VYA KUFANYA WEEKEND HII
Finally weekend hii hapa kwa wengine wame choka na ku party usiku mzima lakini wale wenzetu na sisi ambao weekend ikifika tuna fikiria ku seat back, ku relax na kuto kufikiria chochote zaidi ya kula na kuangalia movies. lakini kuna wengine hawa tuna waita stylish…
5 Body Parts Yo Should Clean This Weekend
Weekend ni ule muda wa kujijali (selfcare) na ni kawaida yetu kukumbuka kujifanyia usafi sehemu mbalimbali za miili ikiwa ni kutengeneza nywele, kucha, skin care, kufua mavazi etc. Lakini kuna sehemu kadhaa za mwili huwa tunasahau kusafisha na tupo hapa kukumbusha sehemu hizo na kwanini…
Selfcare Ideas To Try This Weekend
Inawezekana umeshakutana na hili neno huko mitandaoni lakini hujajua maana yake ni nini “Selfcare”, Selfcare ni hatua za kuchukua muda kujiangalia/kujihudumia wewe mwenyewe, mara nyingi huwa tunajisahau tunaangalia afya za wengine kuliko sisi wenyewe au tunaweka muda wetu mwingi kwenye kazi/biashara/kutafuta pesa na mahitaji mengine…
Self Care Checklist To Do This Weekend
Baada ya week nzima ya stress za kazini, kwenye biashara, heka heka za watoto mashuleni etc weekend ni wakati mzuri wa kujijali wewe pamoja na familia yako. Ikiwa wengi tunadhani selfcare ni kwa wenye pesa au kutoka kwenda sehemu ambazo utafanyiwa huduma fulani lakini kumbe…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…