Looks From BSS 2023 Launch
Msimu mpya wa Bongo Star Search umeanza na mwaka huu kuna ma judge watatu ambao ni Rita Paulsen, Salama Jabir na Shilole wakati host wa show akijirudia tena Meena Ally. Katika kuzindua msimu huu mpya kulikuwa na launch day lakini pia kulikuwa na poster ambayo…
Beauty Looks From Last Week
Kuna wakati watu maarufu wana serve beauty looks mpaka unatamani wasivute, na kuna wakati unaona makeup kwa mtu maarufu unajiuliza hii imefanywa bure au kulikuwa na some sort of discount? Well tuseme kwasasa tunaona wengi wanajitahidi na looks zao, makeup artist wanajitahidi kujua rangi na…
Wedding Guest’s Looks From Nandy & Billnass’s Wedding
Week iliyopita Jumamosi ya tarehe 16.7.2022, Mwanamuziki Billnass na mpenziwe Nandy walifunga ndoa, na ni moja kati ya ndoa ambazo zimetikisa Nchi kwa namna moja au nyingine. Ikiwa ni harusi ya watu maarufu basi watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika shehere hii na hapa tunaangalia wahudhuriaji…
Shilole Na Fahyma Walivyoshindwa Kutembelea Viatu Virefu
Wakati inaaminika watu wengi maarufu wanajua kutembelea viatu virefu, imekuwa tofauti kwa Fahyma na Shilole ambao week hii wameonekana kushindwa kutembelea viatu hivi. Sio dhambi hata kidogo kwa mtu maarufu au sisi wengine kushindwa kutembelea viatu hivi ila huwa inaleta picha tofauti pale ambapo mtu…
Shilole Wore Nandy Bridal Purple Gown For Her Wedding
Mwanamziki na mfanyabiashara Zuwena A.K.A Shilole amefunga ndoa jana, kama maharusi wengine wa kiislam shilole alivalia kilemba cha purple na veil yake, akiwa na makeup nzuri kabisa kutoka kwa meezglam na kumalizia na statement dropped earrings zilizomatch na rangi ya gold iliyopo katika gauni lake…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…