SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

Balenciaga Waleta Yeboyebo Ndefu 

Wakati tukifikiri tumesha yaona yote kutoka kwa wabunifu Balenciaga wao wana tuambia the night is still young, bado kuna mengi ambayo yanakuja na yanafurahisha na baada ya kuleta zile ugly daddy shoes na zile yeboyebo za kuvukia mto sasa wameleta yeboyebo zenye kisigino kirefu, Spotted…