SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo

White Sneakers Zinavyo Trend Kwa Sasa 

Kitu kimoja kuhusu trends ni kwamba zinajirudia, the white sneakers zilipotea kuna kipindi lakini zimerudi tena kwa kasi ya 4g, kila fashionista, watu maarufu na watu wa kawaida wameonekana kuvutiwa na trend hii, we are loving this new edition ya jinsi zinavyokuwa styled namna tofauti…

Mitindo

Stylist Joujou Alivyo Style Grandma Shoes 

Grandma shoes/heels ni vile viatu ambavyo mara nyingi vinavaliwa na ma-bibi, ni zile heels ambazo kisigino chake kipana kidogo na sio kirefu tunadhani ndio maana wabibi wanapenda kuvaa maana vipo comfortable, well tumeona wabunifu mbalimbali wakidebut style hii ya viatu katika collection zao, wabunifu hao…