Usipoteze Pesa Yako Kununua Aina Hizi Za Viatu
Viatu vinaweza ku-make au ku-break outfit yako, unaweza kuvaa vazi la bei ghali na zuri lakini kama chaguo la viatu vyako ni baya basi utaharibu muonekano mzima, leo tunakuletea aina 6 za viatu ambavyo huitaji kupoteza pesa zako kununua na mbadala wake. Yes njoeni mtupige,…
Viatu Vya Kuvaa Endapo Una Miguu Mwembamba
Linapokuja swala la mitindo uwiano wa umbo la mwili huwa ni muhimu sana, wengi hatupo perfect kuna flaws za hapa na pale, leo tunaongea na wale wenye miguu mwembamba, je unawezaje kuweka uwiano kati ya miguu na miguu yako kwa kutafuta viatu vinavyo weza kuongeza…
How Celebrities Are Styling Knee/Thigh High Boots
Moja kati ya viatu ambavyo huwa vina upgrade muonekano ni boots, ukiachana na ku-upgrade muonekano boots huvaliwa mara chache sana hasa huku kwetu Africa kutokana na hali ya hewa yetu kidogo hairuhusu hivyo unapozivaa zinakupa utofauti na ku-stand out na wengine. Tumeona toka mwishoni mwa…
Aina 4 Za Flat Shoes Zitakazo Kufanya Uonekane Elegant
Kuna aina nyingi sana za viatu ambavyo ukivaa vitakufanya uonekane elegant. Kama unavyojua kuwa kiatu ndio kitu ambacho kinafunga muonekano wako, ukikosea kwenye kiatu utafanya muonekano wako wote kuharibika na ukipatia basi kinanyanyua muonekano wako kwa kiasi kikubwa. Kuna watu hawawezi kuvaa heels kutokana na…
Tip Ya Kuondokana Na Vidole Kutokeza Nje Ya Kiatu
Vidole kutokeza nje ya kiatu hukupa muonekano mbaya, inawezekana umenunua viatu vinakutosha vyema ila ukavivaa ukiwa umepaka lotion miguuni kwenye sole viatu vikawa vinateleza au inawezekana una tatizo la jasho miguuni ambayo nayo husababisha miguu kuteleza kwenye viatu na sababisha vidole vitokeze mbele,either way tuna…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…